Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO

MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO

ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
Mi simo ila ukubali ukatae mnyama ndo anawakilisha Afrika mashariki baaas!
 
Simba ili kutoboa, hao jamaa watakapokuja kwa mkapa wapigwe si chini ya3-0
Inawezekana kabisa kuwapiga hata 4-0. Tukipulizia kile kitu kwenye vyumba vya kubadilishi.... Tunawakalisha. Tena sasa hivi tumegundua njia mpya,tunapulizia wakati kipindi cha kwanza kinaendelea. Mapumziko wakiingia tuu wanakutana nacho

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣

WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO

MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO

ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
Cheka cheka tu huna namna

Mbogamboga mna matatizo sana
 
MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣

WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO

MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO

ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tushayazoea maneno yenu nyieeeeee hata tungepangwa na makondoo mngesema hayo hayoooooo we jiapange kwenda kuwapokea ndo ka,i yenu iyo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
 
Jifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
Kama hamuwezi utani michezo ipo mingi kashabikie rede sioni unachomlalamikia jamaa hapo
 
Jifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
Simba kuinanga Yanga halkadhalika Yanga kuinanga Simba ndio utamaduni wetu hatujawahi ombeana mema hata mwaka mmoja
 
Hawa wengi wao wameanza kushabikia Simba enzi ya Mo ndio tatzo sielewi anachokulalamikia hapo
kweli mkuu nafikiri hivyo ndio maana siajona haja ya kujibishana nae sana, Na ninaona utani huyu haujui kabisa
 
Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
Brocken haaaaaaahaaaaaaa haya nenda kaone wabongo wanavyoongea kiingereza brockeeeeen
 
Back
Top Bottom