Ma shaa Allah tena nasikia cha kwanza wameweka sehemu ya muda ya kusalia ndani ya bandari.Mikataba na hao maharamia hata sitaki kuiskia.
Mada ya kuuza mali za Watanganyika??Jikite kwenye mada, acha udini
Kumbe hao mafirauni huwa wanasali!.Ma shaa Allah tena nasikia cha kwanza wameweka sehemu ya muda ya kusalia ndani ya bandari.
Nnauhakika wakianza rasmi kazi wataweka kitu kama cha DP World jJabel Ali Port[emoji1484]
View attachment 2664978
Hapo sasa.
Hao Waarabu wangeanzia Zanzibar basi. Charity starts at home.Unguja inakuwa zaidi ya Dubai.
Hivi unajuwa Wazanzibari baada ummaa mapinduzi ndiyo waliibadili Dubai?
Mada ya kuuza mali za Watanganyika??
Nyerere aliitwa ikulu kumsalimia mwarabu wakati huo ndio Mwinyi anaanza kupiga mnada mali za Tanganyika akianzia na msitu wa Loliondo.
Hata sasa mawaziri wote wanaopiga mnada Tanganyika ni either wazanzibari au waislamu: Suleiman Jafo, juzi kawapa waarabu misitu, Makamba kawapa upakuaji mafuta, Mbarawa kawapa bandari, Kinana wa CCM anauza nyara za serikali kwa mfalme wa uarabuni, nk. Tumechoka!
Ulitaka apewe nani?Nyerere aliitwa ikulu kumsalimia mwarabu wakati huo ndio Mwinyi anaanza kupiga mnada mali za Tanganyika akianzia na msitu wa Loliondo.
Hata sasa mawaziri wote wanaopiga mnada Tanganyika ni either wazanzibari au waislamu: Suleiman Jafo, juzi kawapa waarabu misitu, Makamba kawapa upakuaji mafuta, Mbarawa kawapa bandari, Kinana wa CCM anauza nyara za serikali kwa mfalme wa uarabuni, nk. Tumechoka!
Ooh kwanza ulikuwa na mashaka?Kuna chawa humu anaitwa/anajiita Lucas mwashambwa. Nimekuwa nikijiuliza huyu kilaza ni nani na anatokea wapi. Baada ya kupitia hii thread sina mashaka tena.