Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Mikataba na hao maharamia hata sitaki kuiskia.
Ma shaa Allah tena nasikia cha kwanza wameweka sehemu ya muda ya kusalia ndani ya bandari.

Nnauhakika wakianza rasmi kazi wataweka kitu kama cha DP World jJabel Ali Port👇🏾

1687412857727.png

Hapo sasa.
 
Ma shaa Allah tena nasikia cha kwanza wameweka sehemu ya muda ya kusalia ndani ya bandari.

Nnauhakika wakianza rasmi kazi wataweka kitu kama cha DP World jJabel Ali Port[emoji1484]

View attachment 2664978

Hapo sasa.
Kumbe hao mafirauni huwa wanasali!.

Halafu yakitoka hapo yanaenda kutoa rushwa.
 
DP World ni wezi,wanafukuzwa kwenye nchi zote zenye akili
 
Kuna mtu aliniambiaga umri wa KE ulifikia 60+ huwa wanakubali kila kitu anachoambiwa.

Sasa nimeamini hiyo kauli baada ya kusaini mikataba mingi kama mtu anayetaka kufa kwa wakati mmoja.
 
Pamoja na maslahi yao Dini ni ujinga mbaya sana unaowagarimu wasomi wa Africa hasa Tanzania
 
Nyerere aliitwa ikulu kumsalimia mwarabu wakati huo ndio Mwinyi anaanza kupiga mnada mali za Tanganyika akianzia na msitu wa Loliondo.

Hata sasa mawaziri wote wanaopiga mnada Tanganyika ni either wazanzibari au waislamu: Suleiman Jafo, juzi kawapa waarabu misitu, Makamba kawapa upakuaji mafuta, Mbarawa kawapa bandari, Kinana wa CCM anauza nyara za serikali kwa mfalme wa uarabuni, nk. Tumechoka!

Chuki na ubaguzi unakusaidia nini babaa? Udini unakusumbua, hebu changia bila kuingiza udini na utaifa
 
Nyerere aliitwa ikulu kumsalimia mwarabu wakati huo ndio Mwinyi anaanza kupiga mnada mali za Tanganyika akianzia na msitu wa Loliondo.

Hata sasa mawaziri wote wanaopiga mnada Tanganyika ni either wazanzibari au waislamu: Suleiman Jafo, juzi kawapa waarabu misitu, Makamba kawapa upakuaji mafuta, Mbarawa kawapa bandari, Kinana wa CCM anauza nyara za serikali kwa mfalme wa uarabuni, nk. Tumechoka!
Ulitaka apewe nani?

Natoka nje ya mada kidogo:
Maandiko yako na hilo jina lako "fazili" umenikumbusha Dar ya miaka ya mwisho mwisho mwa 60 na mwanzo mwanzo mwa 70, kulikuwa na watu wawili maarufu sana, mmoja akiitwa Faruku na mmoja Fazili. Una uhusiano nao wowote?

Ulilipataje hilo jina?
 
Kuna chawa humu anaitwa/anajiita Lucas mwashambwa. Nimekuwa nikijiuliza huyu kilaza ni nani na anatokea wapi. Baada ya kupitia hii thread sina mashaka tena.
Ooh kwanza ulikuwa na mashaka?

Nimefurahi kuona mada yangu imekutibu maradhi yako ya mashaka.
 
Back
Top Bottom