Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni waarabu hao hao ndio maana hatuwaamini. ninajua nini kinakufanya wewe uwapiganie, wala sio uchumi. ni utumwa. bado unaamini hata mbinguni hao ndio watatangulia kwanza kwenda ndio ninyi mfuate.Wa loliondo Abu Dhabi, wa Bandari Dubai.
Vita vya panzi furaha ya kunguru.
Yupo Yesu huko, jirani yao anawangoja awaoneshe mitaa.ni waarabu hao hao ndio maana hatuwaamini. ninajua nini kinakufanya wewe uwapiganie, wala sio uchumi. ni utumwa. bado unaamini hata mbinguni hao ndio watatangulia kwanza kwenda ndio ninyi mfuate.
Asante kwa taarifaNawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.
Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.
Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾
Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones
Tanzania-UAE Relations:
By Giza MdoeMarch 4, 2022.
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).
- Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
- Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
- Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.
Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.
Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones
Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Huyu mwanamke hutokea kwenye hili jukwaa Rais Wa Tanzania anapo kuwa Mwislamu! Kipindi chote cha President Magufuli alipotea kabisaa. Jambo moja la uhakika ni kwamba yeye ni CCM pro, na huunga mkono chochote ambacho chama chake wameamua.Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.
Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.
Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾
Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones
Tanzania-UAE Relations:
By Giza MdoeMarch 4, 2022.
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).
- Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
- Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
- Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.
Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.
Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones
Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
hahahaa kweli kila mtu ana Price TagMjomba wenu nyie uniulize mimi? Majanga.
Ni mtanzania GANI anaeijua HIYO mikataba 30 inahusu nini na atafaidikaje!!?Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?
Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.
Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.
. Kalaga baho.
Eti hofu ya Mwenyezi Mungu! Nani huyo tumwachie nchi aongoze milele? Nchi huuzwa kwa mikataba mibovu. Uhakika wa kusema hivyo ni huu mkataba mmbovu uliosainiwa juzi. Unataka uthibitisho gani zaidi au na wewe ni mnufaika wa udhalimu huu?
Upumbavu Ni kutoongelea vipengele vya huo mkataba lkn ukatuletea porojo za kihayawani.Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.
Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.
Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee [emoji1484]
Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones
Tanzania-UAE Relations:
By Giza MdoeMarch 4, 2022.
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).
- Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
- Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
- Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.
Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.
Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones
Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Sijui hata unachotetea. Jikite ktk kile kinachopigiwa kelele. Usijitoe fahamu.Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?
Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.
Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.
. Kalaga baho.
Wewe mikataba ya kibiashara haiwekwi wazi. Dunia ya ushindani hii. Mmewekewa wazi ule wa ushirikiano tu mmeanza kupayuka na kubwabwaja hovyo nchi nzima.Ni mtanzania GANI anaeijua HIYO mikataba 30 inahusu nini na atafaidikaje!!?
Mikataba iliyosainiwa sebuleni kwenye zulia huko Dubai mimi niliehuku mchambawima najuaje kilichosainiwa kama kina fursa kwangu!!?
Kwanini isingesainiwa Bungeni iwa mjadala moana tukajua mbivu na mbichi na fursa zitakazopatikana KWA wananchi wetu wote!!?
Kwanini huko huko halafu mlete kipitishwe kinyemela!!?
Ngoja nione!!
Hata kama ni kuuza mlima Mrefu Africa tuungane naye?Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.
Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.
Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾
Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones
Tanzania-UAE Relations:
By Giza MdoeMarch 4, 2022.
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).
- Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
- Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
- Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.
Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.
Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones
Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Nitetee mie kuku?Sijui hata unachotetea. Jikite ktk kile kinachopigiwa kelele. Usijitoe fahamu.
Huyo Mkapa na sera yake UBINAFSISHAJI km nchi tulipata faida gani. Km siyo Mali za umma zilitapanywa bure.
Nb:uzuri Mzee mkapa baadae Sana alikiri kuwa Hilo Ni moja ya Jambo alilolijutia. Hakufanikiwa.
Dada watu wameamka. Hiki Ni kizazi cha kuhoji.
Hakuna mwenye shida na uwekezaji wala Waarabu. Warekebishe vipengele vinavyopigiwa kelele kazi iendelee! simpo tu Yani.
Wengi tu tulipotea, nashukuru nimerudi. Tulikuwa nao hapa JF kina Ben, wako wapi?Huyu mwanamke hutokea kwenye hili jukwaa Rais Wa Tanzania anapo kuwa Mwislamu! Kipindi chote cha President Magufuli alipotea kabisaa. Jambo moja la uhakika ni kwamba yeye ni CCM pro, na huunga mkono chochote ambacho chama chake wameamua.
She is intelligent but not liberal in thinking, and above she is religiously castrated she never and will never support a non Muslim leader.
Imekuwa mipasho tena? Kila siku unakujua na taarab mpya ya DP World?Nitetee mie kuku?
Vitu viko wazi kabisa. Mama kenda kumtowa nyoka nwebye almasi pangoni. Kwa Uislam wake tu, hakuna zaidi.
Uisalam mwema sana.
Mmejawa na Udini sana nyie, CDM walianza kumpunga Mkapa, Mkiristo, wakaja, Kikwete Muisilam, Wakaja Mwamba mwenyewe Mkiristo na sasa Mama Mwisilamu, Ila nyie Magufuri mlipinga kwa sababu ya Dini yake na una msapoti Samia kwa sababu ya Dini yake piaAhsante sana, sifa njema hiyo, ulitaka niwe agent wa shetani? Kama yule aliyeenda kwenye sherehe za ngono Sweden, kwa pesa za ruzuku?
Kuna watu mashetani kama hao ndugu zsko Waarabu? Si wanapigana miti wao kwa wao?Ahsante sana, sifa njema hiyo, ulitaka niwe agent wa shetani? Kama yule aliyeenda kwenye sherehe za ngono Sweden, kwa pesa za ruzuku?