Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

mkapa hakuingia mkataba wa aina hii au ule wa baba yako wa loliondo. Tanzania will never forget this.
Wa loliondo Abu Dhabi, wa Bandari Dubai.

Vita vya panzi furaha ya kunguru.
 
ni waarabu hao hao ndio maana hatuwaamini. ninajua nini kinakufanya wewe uwapiganie, wala sio uchumi. ni utumwa. bado unaamini hata mbinguni hao ndio watatangulia kwanza kwenda ndio ninyi mfuate.
 
Yupo Yesu huko, jirani yao anawangoja awaoneshe mitaa.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.

“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.

President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’

“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Asante kwa taarifa
 
Huyu mwanamke hutokea kwenye hili jukwaa Rais Wa Tanzania anapo kuwa Mwislamu! Kipindi chote cha President Magufuli alipotea kabisaa. Jambo moja la uhakika ni kwamba yeye ni CCM pro, na huunga mkono chochote ambacho chama chake wameamua.

She is intelligent but not liberal in thinking, and above she is religiously castrated she never and will never support a non Muslim leader.
 
Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?

Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.

Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.

. Kalaga baho.
Ni mtanzania GANI anaeijua HIYO mikataba 30 inahusu nini na atafaidikaje!!?

Mikataba iliyosainiwa sebuleni kwenye zulia huko Dubai mimi niliehuku mchambawima najuaje kilichosainiwa kama kina fursa kwangu!!?

Kwanini isingesainiwa Bungeni iwa mjadala moana tukajua mbivu na mbichi na fursa zitakazopatikana KWA wananchi wetu wote!!?

Kwanini huko huko halafu mlete kipitishwe kinyemela!!?

Ngoja nione!!
 
Eti hofu ya Mwenyezi Mungu! Nani huyo tumwachie nchi aongoze milele? Nchi huuzwa kwa mikataba mibovu. Uhakika wa kusema hivyo ni huu mkataba mmbovu uliosainiwa juzi. Unataka uthibitisho gani zaidi au na wewe ni mnufaika wa udhalimu huu?

Mimi sinufaiki na chochote, na wala sifanyi kazi serikalini........
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee [emoji1484]

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.

“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.

President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’

“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Upumbavu Ni kutoongelea vipengele vya huo mkataba lkn ukatuletea porojo za kihayawani.

Nani amepinga uwekezaji?

Unapotetea jikite kwenye like kinacholalamikiwa.

A. Ukomo wa mkataba
B. Kila fursa itakayotoka ktk bandari watatarifiwa wao kwanza. So Hakuna mtanzania au serikali itafanya Jambo jipya ktk bandari bila ruhusa yao.

C. Ajira za Watanzania

D.thamani ya mkataba ( najua hapa utakuja na ujuaji mwiingiii na blah blah za kutosha)

Achaneni mali za Watanganyika.
 
Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?

Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.

Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.

. Kalaga baho.
Sijui hata unachotetea. Jikite ktk kile kinachopigiwa kelele. Usijitoe fahamu.

Huyo Mkapa na sera yake UBINAFSISHAJI km nchi tulipata faida gani. Km siyo Mali za umma zilitapanywa bure.

Nb:uzuri Mzee mkapa baadae Sana alikiri kuwa Hilo Ni moja ya Jambo alilolijutia. Hakufanikiwa.

Dada watu wameamka. Hiki Ni kizazi cha kuhoji.

Hakuna mwenye shida na uwekezaji wala Waarabu. Warekebishe vipengele vinavyopigiwa kelele kazi iendelee! simpo tu Yani.
 
Ni mtanzania GANI anaeijua HIYO mikataba 30 inahusu nini na atafaidikaje!!?

Mikataba iliyosainiwa sebuleni kwenye zulia huko Dubai mimi niliehuku mchambawima najuaje kilichosainiwa kama kina fursa kwangu!!?

Kwanini isingesainiwa Bungeni iwa mjadala moana tukajua mbivu na mbichi na fursa zitakazopatikana KWA wananchi wetu wote!!?

Kwanini huko huko halafu mlete kipitishwe kinyemela!!?

Ngoja nione!!
Wewe mikataba ya kibiashara haiwekwi wazi. Dunia ya ushindani hii. Mmewekewa wazi ule wa ushirikiano tu mmeanza kupayuka na kubwabwaja hovyo nchi nzima.

Uliza tukupe njia za kuziona fursa ziko wapi, unafikiri wanaijuwa hiyo mikataba ya kibiashara wataacha kufaidisha ndugu na jamaa zao na matumbuo yao kwanza?

Tumieni vichwa vyenu kufikiri nyinyi. Mwarabu ghali, anatafutwa na dunia nzima kwa pesa zake, nyie mama kawafanyia kazi, kawaleta wajomba zake hapa, wamemuhishimu mtu mzima.

Kama mlikuwa hamjuwi, wamemsikiliza na wamemuenzi mama Samia kwa Uislam wake, kwa kuwa Uislam umefundisha kuwa pepo zetu zipo chini ya nyayo za mama zetu.

Mnafikiri walikuja kwa kuwa hakuna kwengine pa kwenda kuwekeza? Tumieni akili japo kidogo. Uislam ni mwema sana na mama anawafahamu wajomba zake.
 
hahahaa kweli kila mtu ana Price Tag
Uislam ni mwema sana, Wajomba wamemuheshimu mama kwa mafunzo yao ya Kiislam, unafikiri angennda 'mat*ko sijuwi matiko, angewaleta Waarabu hapa? Thubutu.

Uislam ni mwema sana.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.

“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.

President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’

“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Hata kama ni kuuza mlima Mrefu Africa tuungane naye?
 
Sijui hata unachotetea. Jikite ktk kile kinachopigiwa kelele. Usijitoe fahamu.

Huyo Mkapa na sera yake UBINAFSISHAJI km nchi tulipata faida gani. Km siyo Mali za umma zilitapanywa bure.

Nb:uzuri Mzee mkapa baadae Sana alikiri kuwa Hilo Ni moja ya Jambo alilolijutia. Hakufanikiwa.

Dada watu wameamka. Hiki Ni kizazi cha kuhoji.

Hakuna mwenye shida na uwekezaji wala Waarabu. Warekebishe vipengele vinavyopigiwa kelele kazi iendelee! simpo tu Yani.
Nitetee mie kuku?

Vitu viko wazi kabisa. Mama kenda kumtowa nyoka nwenye almasi pangoni. Kwa Uislam wake tu, hakuna zaidi.

Uisalam mwema sana.
 
Msitarajie mwaarabu atatukomboa na kutuletea mana na asali!

Hiyo miujiza aliiweza Yesu Kristo tu.

Watanganyika chapeni kazi na kufikiri kujikomboa acheni kujipakaa lip stick na kusubiri waarabu kuja kuwafanyia kazi mkomboleke.
 
Huyu mwanamke hutokea kwenye hili jukwaa Rais Wa Tanzania anapo kuwa Mwislamu! Kipindi chote cha President Magufuli alipotea kabisaa. Jambo moja la uhakika ni kwamba yeye ni CCM pro, na huunga mkono chochote ambacho chama chake wameamua.

She is intelligent but not liberal in thinking, and above she is religiously castrated she never and will never support a non Muslim leader.
Wengi tu tulipotea, nashukuru nimerudi. Tulikuwa nao hapa JF kina Ben, wako wapi?

Muulize Lema alipotelea wapi? Muulize Lissu alikuwa wapi, muulize Mbowe alikuwa wapi? Usiongee kijinga wakati mambo yapo wazi kabisa, Waziri katolewa bastola hadharani na simuzina rikodi watu hata hawajali. Wazee na heshima zao wametukanwa na watoto wadogo. Mawaziri, wabunge wafanya boashara wanaogopa mpaka kuongea wanadukuliwa hoyo ulikuwa bado upo shule ya msingi?

Uislam ni mwema sana.
 
Ahsante sana, sifa njema hiyo, ulitaka niwe agent wa shetani? Kama yule aliyeenda kwenye sherehe za ngono Sweden, kwa pesa za ruzuku?
Mmejawa na Udini sana nyie, CDM walianza kumpunga Mkapa, Mkiristo, wakaja, Kikwete Muisilam, Wakaja Mwamba mwenyewe Mkiristo na sasa Mama Mwisilamu, Ila nyie Magufuri mlipinga kwa sababu ya Dini yake na una msapoti Samia kwa sababu ya Dini yake pia
 
Ahsante sana, sifa njema hiyo, ulitaka niwe agent wa shetani? Kama yule aliyeenda kwenye sherehe za ngono Sweden, kwa pesa za ruzuku?
Kuna watu mashetani kama hao ndugu zsko Waarabu? Si wanapigana miti wao kwa wao?
 
Imekuwa mipasho tena? Kila siku unakujua na taarab mpya ya DP World?
Ooh tena umenikumbusha fursa hiyo, ngoja nimpigie Khadija Kopa atutolee nyimbo ya DP World. lazima Waarabu wampe utajiri.
 
Back
Top Bottom