Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

Eti tunalalamika bure 🀣
Kwa hiyo kama Dubai wana mafuriko Tanzania hawatakiwi kulalamika mafuriko sio
Unalalamika ilii!!? Hujapoteza hata jeroo...
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tujadili mafuriko ya Arusha, Rufiji, maporomoko huko Mbeya na kwingineko nchini kabla ya kuhangaika na hayo ya mabeberu.

Hauwezi kimbilia kuokoa kwa jirani wakati kwako kunateketea.
πŸ˜…πŸ€£πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…