Mzee wa fiksi za dokta Shika,ulimpamba mzee wa watu, kumbe kizee cha watu kilikuwa masikini tu.Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Mi nimeipta hiyo ya wali pekee kwa maana riceMwenye kuweza kufungua hizi codes please!
Hapa nimeelewa namba 5 tuBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Ohhh Butiku,warioba, Gwajima huyo Rugoodbye ndo sijapata kituBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Msiwe mnamlaum jk!nchi ilianzaharibiwa na JK. aliendesha nchi kishkaji kihuni. hovyo sana
CDFBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Ndiyo hiyo hiyoYule si ni Ruhangwa?🤔 Mmmmhmn hizi code asisuke upya,kuzifanyia description inagoma.
Butiku warioba gwajima polepole2 na 5 pekee ndio nimeokota ila kwingine nimetoka patupu.
Wewe unaongozwa na hisia na mihemko ya kisumukuma ya mfumo dume basiYote kwa Yote yule kahaba hapendwi mtaani...
Hamna kitu mkuu..Taifa lipo imara na nchi inaenda mbele.Tafsiri yake watu wanaungus ndani kwa ndani sema wanavumilia ila wakikutana na petrol huko mtaan wanalipuka hapo ndio kasheshe itakuwa
Mbona hatariiiii hii. doohBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Mie code nilizifungua kivingine na zikatiki. Sikuweka hivi.Butiku,waryoba,majaliwa ,gwajiboy
Haswaaaa!!!Sijaona bado mwenye mipango madhubuti ananyeweza kupindua meza huko ndani, NRNE pekee kupitia wananchi ndio ingeweza kupindua meza.
Mtu pekee anayeweza kufanya yake kwenye hiki kisiwa na yakafanikiwa ni yule mwamba wa siku zote msaigoni mwenye sarakasi zake aka the godfather. Wengine hawa makelele tu hawana ujanja huo.
Siku bosi wa "Cosa nostra" akilamba mchanga hiki kisiwa hali inaweza kuwa tete sana, bosi ana bosi wake.
ndani ya Fallujah - Iraq.
Maombi ya kuomba kunyamaza ni KIFO!Mungu nifundishe kunyamaza