Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Mizego anajulikana sana na yuko lank za juu za teeth lakini hao bado kuna wengine watatu nao wajua wakisogea hapo najua hii ngoma imekua ngumu

Hivi inawezekana kuwa na watu wa "meno" wasiojulikana wazi wazi, ambao wanakua na vyeo vikubwa kimamlaka kuliko hata wakurugenzi wakuu ambao wanajulikana?
 
Wapo wengi kuanzia mzee MPP, marehemu M, marehemu M wa mtama wale waandamizi

DGIS ni cheo tu kama uIGP tu ni levo za ukamishna
Kweli aisee, maana kuna watu huwa wakiongea, kwa nje wanaonekana ni watu majasiri tuu, ambayo inaweza kuwa ni kweli, ila kwa jicho la tatu unaona kama wana cheo fulani rasmi kikubwa sana kisichojulikana.
 
Kweli aisee, maana kuna watu huwa wakiongea, kwa nje wanaonekana ni watu majasiri tuu, ambayo inaweza kuwa ni kweli, ila kwa jicho la tatu unaona kama wana cheo fulani rasmi kikubwa sana kisichojulikana.
Sure! Kuwa pale juu inategemea na mwanasiasa anapendezewa aende na nani kwenye utawala wake ndio maana recently wamebadilishwa kama karanga maana wapo wengi una pick tu kwenye uDGIS.
 
Sure! Kuwa pale juu inategemea na mwanasiasa anapendezewa aende na nani kwenye utawala wake ndio maana recently wamebadilishwa kama karanga maana wapo wengi una pick tu kwenye uDGIS.
Hii imeshangaza sana, miaka ya nyuma ilikuwa akibadilishwa mmoja, ilikuwa gumzo hapa JF, sasa wamebadilishwa watatu (yule wa kwanza simuhesabu, alikuwa wa Magu), ndani ya miaka minne, kweli? Yaani unaona wazi kuna tatizo.
 
Hii imeshangaza sana, miaka ya nyuma ilikuwa akibadilishwa mmoja, ilikuwa gumzo hapa JF, sasa wamebadilishwa watatu (yule wa kwanza simuhesabu, alikuwa wa Magu) ndani ya miaka minne, kweli? Yaani unaona wazi kuna tatizo.
Yes ndio maana Gwaji aliongelea hili kwenye press yake
 
Namba 3 hatakagi migogoro, Useminari ulimharibu sana alitakiwa awe huko huko labda angekuwa alishapata na U-Askofu kabisa!
 
Kwa hiyo tofauti ya kuachia 2030 na 2035 ni ipi kwa minajili ya kuogopa waliyotenda unayoyasemea?
Kwa nchi hata akiamua kutoka leo hakuna litakalo mkuta hata kama ana uovu wa kiasi gani kwani ishu ya uwajibikaji kwa watanzania haupo kuanzia level za chini hadi juu.
 
Namba 3…mstarabu sana…ameishi na wote wa nchi hii…lakin kwenye hili..hataki mchezo!..
 
Tumia akili kuna tofauti ya uwajibikaji na visasi ...tanzania hakuna uwajibikaji wala kuwajibishwa kwenye mambo ya kifisadi, rushwa, nk ila kwenye swala la visasi na mauaji ya uchu wa mali na madaraka vipo na vitazidi sana hivyo vitendo ...
 
Code ya kwanza kabisa mleta mada ana/kaigiza ugonjwa wa L na R 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…