Sasa Fela anahusiana nini na hao, bora ungemsema Juma NatureWanoaribu mziki ni Babu tale na Fela wala sio clouds awajamaa wa ovyo sijawai kuona sana roho mbaya sana we fikiria mtu Kama MB dog kassim mganganga anajikongoja wanatoa pesa kwa Runge ngoma nyingine zisichezwe
Umeona.. Tena kibororonihilo li avatar tu jaman
mkuu ww ni wa old moshi, uru ama
Dudu baya kasema clouds ni wanyonyaji, kiki gani hapo
ramli yangu si mchezoUmeona.. Tena kibororoni
Hukuna lolote, ni kutojiamini kwa wasanii tu, Sugu alimgusa kidogo tu akaishia kuomba suluhu kupitia Waziri Nchimbi na akina Tundu Lissu, kama alikuwa anaweza lile battle kilichomfanya akimbilie kuomba poo ni nini? Jide tu hapo wamemshindwa!!Wasanii wa bongo wengi kwa Ruge kila goti litapigwa leta jeuri urudi Igunga,Simiyu,Kibororoni..
Ulitaka kumaanisha nini?Maombi yangu yanaanza kuzaa matunda maana hiyo redio ilikuwa kama shetani usipokuwa mfuasi wake anakufwata fuata hayari hadi usimame imara ndo umkomeshe wadanii wa bongo umoja wenu ndo ushindi maana hata wao hufaidika kwa kazi zenu!
Uzuri umekiri mwishoni mwa uzi wako kuwa wasanii wengi hawajiamini na kujitambua hivyo umeelewa nilichokimaanishaHukuna lolote, ni kutojiamini kwa wasanii tu, Sugu alimgusa kidogo tu akaishia kuomba suluhu kupitia Waziri Nchimbi na akina Tundu Lissu, kama alikuwa anaweza lile battle kilichomfanya akimbilie kuomba poo ni nini? Jide tu hapo wamemshindwa!!
Ukiangalia vizur utagundua ni kutojiamini tu kwa Wasanii wetu, kwa mfano huyo Ruby wanaosema kuwa walimbeba, mim nilisikia
wimbo wake kupitia radio nyingine tofauti kabisa na nikamkubali, hali kadhalika hawa akina Raymond, Billnas na wengine waliochipukia majuzi, wote nilisikia nyimbo
zao kupitia media nyingine na nikawaelewa.
Kitu ambacho wasanii wetu hawajaelewa ni kuwa, Wimbo mzuri ndio utambeba, promo ina nafasi yake ila kama unafanya nyimbo
nzuri utatoboa bila hata hao watu!! Kuna nyimbo kibao kutoka mataifa mbali mbali zinapendwa sana hapa Tz, je hao mawingu ndio wanawabeba hao wasanii wa Kimataifa? Jibu ni hapana, Ubora wa Nyimbo zao ndio
zinawabeba!! So kuwekeza tu kwny mziki wako ndio utakubeba na sio media fulani!! Kujitambua ni hazina kubwa sana!!
Wasanii wanatakiwa kuwa makini wataishia kutajirisha watu wengine ilihali wanakufa masikini.. media plz saidien wasanii msiwadidimizeClouds wanawafanya wasanii wakose kujiamini. Kila msanii anaona hawezi kujitegemea anapokuwa nje ya Clouds, inatakiwa wasanii wafunge mkanda ili kujinasua na huo ukoloni wa kifikra.
Cloooooooooooooooooooooouds fm,wale jamaa ndio Tbs na Tfda ya burudani hapa Bongo,kama wimbo wako hawajaupasisha basi katunge mwingine, nawapenda sana wazee wa burudani.Bila kuongelea Clouds Media naona watu hawana pa kupatia kiki
Kama wasanii wangekuwa wanalipwa pesa mbaya si wangeenda kwingine.
Mkubali kuwa Clouds kwa jina.wamejijenga na mengi hata iweje...wakongwe wa mengi nchini.
Hivi kuna ukweli kwamba wananyonywa??
Hao wanaonyonywa nao wamekubali kunyonywa.??
Ni vigumu sana kukubali mtu anaweza kunyonywa na kuendelea kukubali kunyonywa tu!!
Dahh, mzee hawa watu wanawakamua kama unavyotafuna ganda la muwa halafu utamu ukiisha wanawabwaga kama hawawajui, hebu tizama watu kama Mabaga Fresh au Dully Sykes walivyo. Ni aibu kwa Dully kusota ofisi za Dangote lakini kwa kuwa hana jinsi inabidi ajibanze ili maisha yasonge.Wasanii wanatakiwa kuwa makini wataishia kutajirisha watu wengine ilihali wanakufa masikini.. media plz saidien wasanii msiwadidimize
Mmmmhhh!!kweli lisemwalo lipo maana nna Shaka jinsia yakojamaa alimchamba sheta vibaya mno duuuuuuu matus hatar
nenda youtube ucheke duuu
Sina hakika kuhusu kulipwaHaha bro ongea ukweli tu, ni kweli viongozi walimuomba ayamalize, but ni kwamba alilipwa chake alichokuwa anakidai then akakausha na kuyamaliza kimyakimya bila kuwashirikisha wenzake
Mkuu sugu haijawahi kusaliti hiyo movement, bas ni jins tu media ilivyoweka ishu yenyeweNaunga mkono hoja mkuu ila ninashangaa kuna watu humu mpaka leo wanamtetea sugu.
Sugu aliwageuka wenzake waliojotosa kupigana naye kama Rama D, mapacha.
Kwa upande wa jide pia naye uwa namlaumu kwanini hakuunga mkono wakati vinega wameanza harakati au kwakuwa bado alikuwa in good terms na clouds.
Hizi harakati mtu anazianza pale anapoona anaanza kuanguka au ameisha ndiyo maana naziona fake.
Ipo siku weusi wakiisha chat utasikia nao clouds wanyonyaji lakini kwa sasa ....