Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
sio mama yake mzazi ni mama yake mkubwa
Nyimbo zenyewe mbayaaa asimsingizie mama yakee mbwaa kwelii huyu jamaa
Nyimbo zenyewe mbayaaa asimsingizie mama yakee mbwaa kwelii huyu jamaa
ndo maana serikali zinakataza watu wasivute bangi.
na bangi mkuu mbona wasio na elimu wapo wengi tu na hawafanyi vitndo vya ajabu kama hiivi.Huyu sio bangi ni ukosefu wa akili unaosbabishwa na kutokuenda shule mkuu
ndo maana serikali zinakataza watu wasivute bangi.