Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.


source : clouds fm

sio mama yake mzazi ni mama yake mkubwa
 
Bangi bangi ukizidisha inakuwa Noma..

Mbayaaaaaaaa kama jina lake
Mama ake amloge kwa kipi atokomee na kuyeyuka kama barafu huko alikokimbilia
 
"Dudu baya kamkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana"
Huyo atalaaniwa na atakufa kifo kibaya
 
Kipaji chake ni kidogo sana ku survive nyakati kama hizi.
 
Nadhani atakuwa ni ajenti wa kuzimu huyu watu wengine wanatamami kusema nani kama mama wewe leo unamtoa kiungo ajenti mkubwa wewe
 
ndo maana serikali zinakataza watu wasivute bangi.

ila pombe wanakunywa..tofauti iko wapi?? asilimia tisini ya walevi ni watu wa fujo but smokers wengi ni wakimya tu ukiachana na young residiz old skul wote wapole
 
Basi tena asha poteza dira ya maisha.. anaelekea kuwa skeleton soon, 💀💀
Dudu baya umepotea
 
Back
Top Bottom