Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

NIKIWA KAMA MIONGONI MWA WASANII WAKUBWA BONGO, SIJAFURAHISHWA NA HIKI KITENDO, WATU WANA FAMILIA WANA MIKATABA YA KIBIASHARA NK NI VEMA TULINDIANE HESHIMA ATHARI ATAYO PATA OMMY NI KIBWA SANA NA KAMA AKISEMA APIGE HATUA KISHERIA NI HATARI SANA.


HAWA WAKONGWE WANA ROHO MBAYA SEKESEKE LIMEANZIA KWA CHID BENZ BAADA YA KIONESHWA KUTOFURAHISHWA NA UJIO WA MR CHEEKS MUIMBAJI WA MAREKANI WAKIDAI TAMASHA HALIMUHUSU.

ANACHO KIFANYA DUDU BAYA UKISIKILIZA ROKA MWANZO NI WIVU KWANI OMMY DIMPOZ SIO MKONGWE JAMA AKAONA ATAFUTE PA KUPITIA, NDIO AKAJA NA INSHU YA USHOGA ILA MAISHA HAYA, HUYU JAMAA ASIPO KUA MAKINI KARMA ZITAMTESA SANA YUKO SAWA ILA HAPO SI MAHALA PAKE,

OMMY DIMPOZ ALITUTUKANA WATANZANIA K MAKE ZETU, ILA SIUNGI MKONO KUFANYIWA VILE.
 
yeye anadai hajafuliaa na kuthibitisha hilo anasema alijipeleka India kutibiwa bila kuoma mchango kwa mtu yoyote
 
Sawa, tuachane na akili za dudubaya na kufulia kwake.
Je, ni kweli ommy dimpoz analiwa au ni ujinga tuu wa dudubaya?
 
Kumdhalilisha mwenzako ni uhuru? Mbn mpumbavu hivyo? Huyo dudubaya kuna kitu kinamwasha atapata anachotafuta huyo bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…