Dudu Baya: Kinachofanya Tanzania itulie tofauti na jirani zetu ni kuwa sisi tumenyimwa elimu ya haki zetu. Wenzetu wanayo

Ngumi jiwe, kasema kweli kabisa. Hao ndiyo Watanzania halisi. Maadui zetu sisi ni vijana wanaoishabikia ccm, kwa maslahi yao, ya kutaka uongozi ndani ya chama na bunge. Hawa wanarudisha nyuma, juhudi za kukichomoa hiki chama kongwe Tz.
CCM ni washirikina sn
 
Na kingine ni uoga na ubinafsi, utasikia mtu anasema mimi nife halafu waje kula wengine! Utafikiri kwenye kundi la walaji wa sasa na yeye yumo!
 
Wanawajua sana akina Etugrubey na akina Pasha wa Uturuki πŸ˜‚πŸ˜…πŸ‘
Ndo ivo mkuu, hizi mambo zinaanzia chini kabisa, sisi enzi zetu ilikua ikifika saa mbili ni taarifa ya habari.
Tulikua hatupendi lakini walau ilikua inafanya tunakua updated na kinachojiri serikalini.
 
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Unadhani ni wapumbavu la hasha bado hatujachoka mateso, usidhani hizo nchi kama somalia, mali, bukinafaso, kongo, burundi wanatuzidi sisi kwa ushupavu. Ila Mateso yetu yanavumilika. Mpaka ifike shingoni kama wamasai wala hakuna atakaye hamasishwa kudai haki yake.
 
Point πŸ™ŒπŸ‘
 
Nakubaliana nae πŸ’― %, suala hili lili nisukuma kushiriki katika SoC04
 
Nahisi ccm wanajua kula na kipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…