mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Miaka yote anakuambia yeye mseminari 😄kumbe Dudubaya ana akili!!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote anakuambia yeye mseminari 😄kumbe Dudubaya ana akili!!
Mwamba kumbe ni mzima kichwaniMiaka yote anakuambia yeye mseminari 😄
Ova
CCM ni washirikina snNgumi jiwe, kasema kweli kabisa. Hao ndiyo Watanzania halisi. Maadui zetu sisi ni vijana wanaoishabikia ccm, kwa maslahi yao, ya kutaka uongozi ndani ya chama na bunge. Hawa wanarudisha nyuma, juhudi za kukichomoa hiki chama kongwe Tz.
Dudu yuko vizuri kitamboMwamba kumbe ni mzima kichwani
Kama ataacha kuvuta bangi basi atafika mbaliDudu yuko vizuri kitambo
Ova
Ni kweli watanzania wengi hawafahamu na hawana uelewa kinachopitishwaga bungeniKama ataacha kuvuta bangi basi atafika mbali
Huyu jamaa nafuatiliaga mahojiano yake huwa anaongea points tupuAnashusha nondo mwanzo mwisho
Ova
Nadhani mwamko umeanza kdg kidogoNi kweli watanzania wengi hawafahamu na hawana uelewa kinachopitishwaga bungeni
Na humu jf tushasema sana kuhusu hilo
Ova
Mfumo ndiyo unawataka watanzania wafatilie mambo ya simbayanga, mizikimiziki burdanNadhani mwamko umeanza kdg kidogo
Just imagine hii nchi bwanaMtu anamaliza F4 hajui katiba ni nini
Miziki, michezo na maigizoJust imagine hii nchi bwana
Ndo ivo mkuu, hizi mambo zinaanzia chini kabisa, sisi enzi zetu ilikua ikifika saa mbili ni taarifa ya habari.Wanawajua sana akina Etugrubey na akina Pasha wa Uturuki 😂😅👍
Unadhani ni wapumbavu la hasha bado hatujachoka mateso, usidhani hizo nchi kama somalia, mali, bukinafaso, kongo, burundi wanatuzidi sisi kwa ushupavu. Ila Mateso yetu yanavumilika. Mpaka ifike shingoni kama wamasai wala hakuna atakaye hamasishwa kudai haki yake.Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Kabisa !Ndo ivo mkuu, hizi mambo zinaanzia chini kabisa, sisi enzi zetu ilikua ikifika saa mbili ni taarifa ya habari.
Tulikua hatupendi lakini walau ilikua inafanya tunakua updated na kinachojiri serikalini.
Point 🙌👍Unadhani ni wapumbavu la hasha bado hatujachoka mateso, usidhani hizo nchi kama somalia, mali, bukinafaso, kongo, burundi wanatuzidi sisi kwa ushupavu. Ila Mateso yetu yanavumilika. Mpaka ifike shingoni kama wamasai wala hakuna atakaye hamasishwa kudai haki yake.
Akizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.
Amesema kwa mtanzania akiwasha runinga akaona kipindi kinaongelea mambo ya katiba anahamisha hiyo chanel haraka sana atatafuta mipira au mziki ama tamthilia ila kuongelea mambo yanayohusu mustakabali wa maisha yao wanaona hayawahusu.
Amesema hicho ndo tunatofautiana na jirani zetu kwa wenzetu asilimia kubwa ya raia wanaelewa haki zao hivyo ikitokea zinachezewa hawataki masihara kabisa.
Nahisi ccm wanajua kula na kipofuUnadhani ni wapumbavu la hasha bado hatujachoka mateso, usidhani hizo nchi kama somalia, mali, bukinafaso, kongo, burundi wanatuzidi sisi kwa ushupavu. Ila Mateso yetu yanavumilika. Mpaka ifike shingoni kama wamasai wala hakuna atakaye hamasishwa kudai haki yake.