Dudu baya, Mtoto wako Wile yupo na hali mbaya jaribu kumuokoa anateketea .

Teacher vp upo wapi nmlete mwanangu...!!?
 
Dudu Baya mbona kama life yake pia sio nzuri, ataweza kweli kumuokoa huyu dogo
 
Dudu baya yupo broke na Afya yake inashida

Mke wake au baby mama wake the same .

Mtoto wake the same hayupo sober sound.

Dudu anatoka familia masikini na mwanamke aliyemzalisha anatoka broke family


Labda Kama wasanjj wataguswa wamsaidie kumuinua kiuchumi na matibabu pia.

Ila yeye binafsi sifikirii Kama ataweza kumuokoa Wille.
 
Nakunukuu,

""Mtu akianza mibangi na pombe kumuokoa labda upeleke soba na hapo uombe sana""



Watu wengi for years wanakunywa na hawafanyi mambo ya ajabu..

NB.
Tatizo sio pombe au ulevi tatizo ni mtu mwenyewe ndio tatizo ku misuse drugs/ alcohol
 
Inasikitisha Sanaa...

Mambo vp..? Upo powaa Issue yetu still naifanyia kazi.
 
Umeninukuu vibaya.
Nilichomaanisha hawa watoto ukute kaanza bangi na hapo hapo anakunywa pombe . Sijasema pombe ni mbaya boss japo ni mbaya kweli😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…