Dudu baya, Mtoto wako Wile yupo na hali mbaya jaribu kumuokoa anateketea .

kama ni teja , kumsaidia kazi ipo
 
Nilimsikia dudu miaka ya nyuma akisema kuwa mwanae kampeleka Uganda kusoma
 
Kama yasemwayo ya ukweli basi jamaa jinga kweli....kila siku yupo youtube kukosoa maisha ya watu wengine.
Ndio anatafuta maisha hapo kwa kiki angalau andelee kuonekana na show moja mbili hata za katoro huko..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…