Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Wakenya tayari wameshapata somo ndiyo maana wamempiga chini Odinga aliyesema ataongoza kwa style za Magufuli yaani stye zilizosababisha ndege ya Tanzania kutekwa huko Canada.
 
Uzuri wa Tanzania hatuuwi wasaliti kama Kenya, yanayotokea Tanzania ingekuwa ni Kenya, sasa hivi tusha zika watu
 
Buying aircrafts is investment just like building roads, harbor, railway and other infrastructures punguzeni unyumbu Tanzania is second with many tourist attractions in the world alafu eti una question kuhusu kuwa na National Airlines?

You should even ashamed for the lack of it
 
Kwa taarifa nilizonazo kutoka kwa mamlaka za juu wengi mtabe surprised keep on dreaming and calm
 
Hakuna damu inaenda bure.

 
Wakenya nyinyi mna Rais smart, Kariba bora na uelewa mpana. mambo ya ajabu yanatokea Tanzania ni matokeo ya kuwa na rais wa ajabu ajabu, Wajinga wengi na Katiba ya viraka.
 
hawa watu weupe wanashikana balaa, pia ni wanafiki sana .bora kununua ndege toka brazil wao weupe wao kidogo una weusi ndani yake
 
Kiuchumi, kisiasa na kisheria Kenya iko mbele sana, Tanzania bado tupo na blah blah tu. Hakuna cha maana cha kujifunza hapo.
 
Wakenya nyinyi mna Rais ambaye yuko smart, Katiba bora na uelewa mpana. mambo ya ajabu yanatokea Tanzania ni matokeo ya kuwa na rais wa ajabu ajabu, Wajinga wengi na Katiba ya viraka.
 
Wakenya msipoteze muda kujifunza kwa Tanzania, mtapotea. Mtakuwa mnarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jifunzeni kwa nchi kama South Africa na Ghana.
 
Kujaribu [emoji818]️-kujalibu [emoji777],ni la muda [emoji818]️-nilamuda[emoji777],kuhamia [emoji818]️-kuamia [emoji777], cha nyuma [emoji818]️-chanyuma. Hii ni baadhi tu. Magufuli alisema mawaziri wake wapumbavu, sasa sijui wanao mshabikia watakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Zanzibar ASP uunasema Kenya hawana la kujufunza kwetu kweli ?
Hapana nafkiri umepitiwa kidogo. Pamoja na matatizo ya ndani ya Tz kama nchi. Kenya wana mengi ya kujifunza kutoka Tz. Kenya inahiitaji Tz zaidi ya Tz inavyohiutaji Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…