Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Uko sahihi Mkuu, huyo siyo Rais tena, bali, mjumbe serikali ya mtaa. Na nchii hii wenye shida wengi!Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Halafu katika ya hotuba, unamsimamisha Mkuu wa nchi ili wewe uongee aisee!
Hata waliompanga walichagua bogus!