paschal Burra
JF-Expert Member
- Jul 1, 2021
- 374
- 332
Mnajua mnachochea ukabila kwa kulikuza neno lenu la kinafiki la sukuma gang lenye lengo la kumchafua MagufuliSukuma gang Wana Hali mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajua mnachochea ukabila kwa kulikuza neno lenu la kinafiki la sukuma gang lenye lengo la kumchafua MagufuliSukuma gang Wana Hali mbaya.
Wewe hujui kitu chochote alichokuwa akikifanya jpm kwa sasa ni lazima kifutike haraka sana?Angeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Hili neno la sukuma gang ni icon term ya kumchafua Magufuli liloanzishwa na mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wadhulumaji, wakwepa kodi, wahujumu uchumi, magaidi, wavivuKuna watu humu jukwaani yabidi tuwafanyie mpango waolewe na hiki KIITWACHO sukuma gang maana kila mtoa ushauri asiokubaliana nao wanambatiza sukuma gang. Wamekuwa kama makahaba.
Kamfufue mungu wenu basi.Je! Unajuaje kama Huyu Mama ameisha waendea hao wote hajapewa msaada, Ndio Maana kaamua kujiripua kwa Mama yenu? Mama yenu anaroho mbaya ana msaada kwa Watanganyika,ila kwa Mafisadi tu.
Utendaji huo wa aina ya Kikwete ulipelekea mpaka kinvs Mnyika wakamwita ni rais dhaifuKwa hili maza nakupa tano, utasikiliza wangapi? mtindo huu ulioasisiwa na marehemu haukuwa mzuri, tuna watendaji kibao kila ngazi, kuna wawakilishi wa Rais kibao - kama kweli wananchi wana matatizo hadi wanataka kumwona Rais pekee yake basi tukubali watanzania kwamba tuna mfumo mbovu wa utawala - na sisi tunaodai KATIBA MPYA nikweli tuna hoja ya msingi.
Haya,kakae na mavi yako nyumbani.Mnajua mnachochea ukabila kwa kulikuza neno lenu la kinafiki la sukuma gang lenye lengo la kumchafua Magufuli
Nyie wanyonge hamuelewi hata hizo pesa za kujenga hayo madarasa haijapewa Tz tu,hata Rwanda pia nayo imepewa na ikajenga madarasa 22,000.kuna namna kila mtu anahitaji kupendwa na mtu kwa wanasiasa ni hivyo zaidi wao wanahitaji kupendwa na watu si Samia wala Magufuli mwanasiasa bora ni yule anayependwa na watu na kama Magufuli alifanikisha hilo au alikuwa analipambania hilo Basi ni Mwanasiasa Bora sana....... hii "mama anaupiga mwingi...." na kujenga madarasa kwa pesa za msaada wa covid zote ni jitihada za kutaka kupendwa na watu
Usicheze na 'fani' za akina mshana mdogo, kama hujasimama kiimani!Haya,kakae na xxxxx yako nyumbani.
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.

Kwa hiyo huyu Bibi yenu ndo nani? Ujinga kama huu mnaunga mkono kweli?Kajibiwa vizuri Sana, hana nidhamu Huyo
hebu sema wapi alipokosea!?Hawa jamaa ni wajinga sana! Rais analipwa na kulishwa na kodi za watanzania! Sasa yupo hapo kwa ajili ya tumbo lake au watanzania! Rais akikosea lazima asemwe yeye ni nani?
Sukuma Gang unateseka sana!Angeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Anataka mahakama itende haki wakati yeye hatendei wananchi haki kwa kuhamasisha ufisadi!🐒🐒🐒
View attachment 2105423
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Mama yupo sahihi, huyo mlalamikaji afuate taratibu za upatikanaji wa haki, naomba turejee kwa yule mama aliyetoa shutuma nzito sana mbele ya Mh.Magufuli, lakini baadaye ilikuja kubainika kuwa malalamiko hayakuwa na ukweli wowote
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Sio kweli, kama ana genuine accusations atapata haki yake, afuate taratibu tuKwa jibu hilo alilopewa huyo mlalamikaji asitarajie chochote cha maana hapo.. Haki yake ndo ishapotea hivyo