Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Mama Samia, anafanya kazi yake bila kiki kilichofuatia happ muulize yule Mama msaada aliyopewa kutoka kwa wasaidizi wa rais kupata haki yake siyo kila kitu raiis aaeme kwenye kipaza sauti.
Nashukuru sana kwa taarifa, za mama yule kusaidiwa. Hata hivyo, lugha ya kisiasa ilitakiwa pale ili kutuliza hali ya hewa.
 
Samia angefanya hivyo unavyo taka afanye asingekuwa Samia Tena, angekuwa wewe. U want Samia to be you. Subiri wewe uchaguliwe kuwa Rais halafu ndo ufanye hivyo unavyo taka Samia afanye.

Samia yupo sahihi kabisa

Unauna sahihi mwananchi kubagazwa?
 
==========

Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Angekubali wangesema huyo mama ni Tiss kapangwa ana bastola kiunoni!
 
==========

Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.

Hii Safi, inaondoa unafiki nafiki... mama afuate taratibu atasikilizwa, sio kusubiri barabarani na mabango, mahindi au jogoo.
 
Yuko sahihi mwendazake alikuwa anafanya usanii utasaidia wangapi mbele za watu aonekane mzuri chini ya Capert katili muuaji

==========

Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
 
Yaani nikuambie jamaa yangu! Huyu bibi kama unashida kubwa ya level ya kumuona huwezi kumuona labda uwe fisadi hapo sawa! Ila mganga njaa sahau! Ndo maana hatakiwi kabisa kufanyia ziara kuwatembelea wananchi! Labda kutembelea kwenye matukio tena mikoa mikubwa basi!
Magufuli na yeye wamekulia katika mazingira tofauti kabisa! Huyu kakulia katika Familia ya kujiweza hajui shida wakati mwenzie na Jua na Mvua ndo vilikuwa Vyake. Cha Ajabu unapambwa kama MTU wa haki Kwa sababu gani sijui? Wanaangalia ushungi?
 
Kilochobaki sasa ivi ni kutembeza kichapo, maana hawa watumishi wa umma kuna time wanakera haswa mpaka unaona uyo mama kafika hatua iyo ujue kashakutana na zarau za aina zote, sasa ivi wanakauli zao wanasema mliyekua mnamtegemea hayupo!!!! Raisi angeweza kusikiliza akatatua changamoto ya uyo mama na akaendelea na hotuba
 
Rais alipaswa kumsikiliza huyu Mwananchi

Huko 'vichochoroni' kuna Miungu watu
Hapo ndipo mtu unajiuliza huo ukubwa wa bureaucracy ya Tanzania ni wa nini?

Mkoa una RC na RAS. Wilaya zina DC na DAS. Kuna wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, majiji, manispaa na miji. Kuna wakuu wa kila sekta (wizara) mikoani na wilayani. Kuna mameneja wa kanda, mikoa na wilaya wa mashirika na taasisi za umma, n.k. Kuna viongozi wa tarafa, kata na mitaa …

Halafu Raisi au PM au Waziri anaenda kutatua migogoro mijini na vijijini na akiwa Mac misafara mikubwa ya viongozi na watendaji tena wa maeneo hayo hayo - pengine ndio hao hao MIUNGU WATU! Matumizi ya rasilimali za umma ya kutisha na hawataki yajulikane. So heavy the overheads!

No wonder tunazidi kugeuka taifa la mazuzu.
 
==========

Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Kwani wewe ulitakaje bwana mdogo?
 
Hongera zake Rais Samia Suluhu kwa kutokuendekeza upuuzi upuuzi.
 
huwezi sikiliza mtu mmoja mmoja watu wanashida karibu nchi nzima. kila mtu na shida yake nenda ukakae mama mimi sio mama wa michongo kama baba wa michongo..ovaa!
 
Ni kweli watu wenye shida ni wengi ila sio kwamba wote wana shida zilizoshindikana hadi mtu kufikiria kumlalamikia rais, utaratibu wa Magufuli haikuwa na maana kwamba yeye ndio atamaliza shida zote za watu bali ilijenga tabia ya kuwajibika kwa viongozi husika.
 
Back
Top Bottom