The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kakwambia nani pa kukimbilia hapapo?Ni kweli ujinga kwako,ila hajakukuta na ukawa huna pakukimbilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakwambia nani pa kukimbilia hapapo?Ni kweli ujinga kwako,ila hajakukuta na ukawa huna pakukimbilia.
Ndugu matusi haujambo? nenda taratibu kwa hoja na kuheshimiana. Dhambi ya matusi unayofanya kwa kujificha kwenye ID fake badi ni dhambi tu. Nakushauri ukatubu!!!Toa ujinga wako hapa
Wale wasaidizi wake ndio wapo karibu zaidi hivyo ni rahisi kupitia nyaraka na kuona tatizo liko wapi na hapo ndipo atamkabidhi kwa waziri kama kupitia kwa waziri ndio ufumbuzi wa tatizo lake,sasa shida hiko wapi? Kwanini mnalazimisha afanye kama Magufuli? mbona yeye hakumuiga Kikwete bali aliamua kushughulika kivyake!K
Kwani kuna ubaya hupi,?hata angelimkabidhi kwa Waziri wa sheria au wasaidizi wake,kwani alikuwa anaambiwa atoe ukumu? Samia anausaidizi wowote kwa Watanganyika wa hali ya chini,labda kwa Mafisadi,ana roho mbaya
katiba mpya ndio itasikiliza watu?Dawa ni katiba mpya
Maigizo nani kayaleta?
Ingeuwa wakati wa Magufuli mngesema hivyo.
Samia angepungukiwa nini kama angemsikiliza na kumpa mtu wa kumusaidia wa karibu zaidi?
Acheni kujifanya wapambe masiokuwa na msaada kwa Wananchi. Au kwa vile ni Urais wa Mchongo ndo maana wananchi wakae pembeni.
Labda ana uzoefu wa kila mara tu hotuba ikishakutolewa, hakuna nafasi ya kusikiliza maswali ama maoni ya wananchi. Kwa hiyo kaona amuwahi tu!Rais amekosea kutomsikiliza ila mwenye shida amekosea zaidi kulazimisha kukatisha hotuba.
Ndiyokatiba mpya ndio itasikiliza watu?
Halujifanya aliwapenda kwa dhati mkuu, roho yako mbaya ukiona mnyonge anaumia ndio furaha yako nikuambie tu kama haitajirudia kwako basi uzao wako utaonja shubiri ya unyonge siku mojaMaigizo yote haya yaliletwa na Magufuli kwa kutaka cheap popularity na kujifanya eti anapenda Saana wanyonge.
Upumbavu mtupu
Hakukuhitajika jaziba, ilikuwa ni kumueleza, kuwa "sawa mama nitakusikiliza ngoja nimalize hili. Wasadizi wangu nikumbushe jambo hili". Kama yule mama angeng'ang'ania basi ange kuwa amekosea zaidi. Lakini kwa hulka wala hakuonyesha kuwa ni mkorofi wa hivyo.Rais amekosea kutomsikiliza ila mwenye shida amekosea zaidi kulazimisha kukatisha hotuba.
Mama Samia, anafanya kazi yake bila kiki kilichofuatia happ muulize yule Mama msaada aliyopewa kutoka kwa wasaidizi wa rais kupata haki yake siyo kila kitu raiis aaeme kwenye kipaza sauti.Maigizo nani kayaleta?
Ingeuwa wakati wa Magufuli mngesema hivyo.
Samia angepungukiwa nini kama angemsikiliza na kumpa mtu wa kumusaidia wa karibu zaidi?
Acheni kujifanya wapambe masiokuwa na msaada kwa Wananchi. Au kwa vile ni Urais wa Mchongo ndo maana wananchi wakae pembeni.
Sukuma gang bana!!! Mzee wa maigizo keshadanjaWatu wako desperate. Ukiona hivyo ujue huko kwingine wanaona kama vile hawapati haki zao.
Hilo dawati/madawati hayataasaaidia mtu yoyote ikiwa wenye nafasi ya kufanya hivyo wamegoma kutoa msaada.huu utaratibu wa Rais au Waziri kufikiwa na kila mtu sio mzuri maana watanzani wenye shida tuko wengi sana na wote tunatamani kumfikia mtoa maamuzi ya haraka shida zetu zikapata suluhu..
Lakini pia ni kengele ya shida kutosikilizwa na kumalizwa na watu wa chini, Rais kupitia mamlaka aaigize kuwe na dawati wilani na mkoani kwa mikoa yote kwa wananchi kupeleka shida zao mbalimbali na Rais awe na watu wake wa chini kwa chini kwenye hata madawati watakaosimami na kuhakikisha shida zinatatuliwa...
Kamsaidia Mzee mwinyi kampa gari lile.Usiongee mambo usiyoyajua! Suala la Msingi Ni Moyo wa Mtu kuguswa na mambo ya watu wengine! Magufuli ukiachana na hao Waliokuwa wanam-face directly amesaidia watu wengi sana kimya kimya walioonewa. Sasa huyu ambaye hakurupuki ameshamsaidia nani?
Hilo dawati/madawati hayataasaaidia mtu yoyote ikiwa wenye nafasi ya kufanya hivyo wamegoma kutoa msaada.
Kwa watanzania Hawa, bila pesa hakuna msaada hata ufanyeje.
Kuna mtu kanyanyaswa na halmashauri, kaenda kwa mkurugenzi holaaa, kaenda kwa mkuu wa wilaya holaaa, kaenda kwa mkuu wa mkoa holaaa kote huko hakuna anayempa majibu.
Huu ndio uhalisia wa sehemu nyingi nchini.
Nitampata wapi huyo mama?Mama Samia, anafanya kazi yake bila kiki kilichofuatia happ muulize yule Mama msaada aliyopewa kutoka kwa wasaidizi wa rais kupata haki yake siyo kila kitu raiis aaeme kwenye kipaza sauti.