Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katiba mpya ndio jawabu la kudumu, sio kutembeza kichapo.Kilochobaki sasa ivi ni kutembeza kichapo, maana hawa watumishi wa umma kuna time wanakera haswa mpaka unaona uyo mama kafika hatua iyo ujue kashakutana na zarau za aina zote, sasa ivi wanakauli zao wanasema mliyekua mnamtegemea hayupo!!!! Raisi angeweza kusikiliza akatatua changamoto ya uyo mama na akaendelea na hotuba