Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Kama hizo delegation of power, specialization of labor zingekuwa zinafanya kazi kwa weledi hao watu wasingekuwa wanafika kuanika mabango kwenye hafla na hotuba za raisi
Hapo sasa ndiyo pa kufanyia kazi lakini siyo kazi ya Rais wa Nchi yenye watu 60 Milioni kumjibu Mtanzania mmoja mmoja.

Ule UJINGA wa Magufuli tumeuzika naye Chato March 2021
Wacha uwongo wewe, Magufuli kaliza watu wengi kuliko hao wanaolia sasa hivi.
 
Hii ndio tofauti kati ya kiongozi na mtawala

Harafu kuna mazuzu wanasapoti
Jaribu kuwa na fikra chanya

Angekuwa mama ako ndo anajibiwa ivo na rais ingekupa picha gan?
 
Hii ndio tofauti kati ya kiongozi na mtawala

Harafu kuna mazuzu wanasapoti
Jaribu kuwa na fikra chanya

Angekuwa mama ako ndo anajibiwa ivo na rais ingekupa picha gan?
Mama zetu wasingetumiwa kwenda majukwaani kumkatisha Kiongozi akihutubia.,
Ni wachache wanatumiwa kwa jinsi ile, Mama akastukia mchezo.
Hata hivyo jambo lake limesikilizwa palepale japo sio jukwaani.
 
Haifai Rais kuchukua nafasi ya Hakimu au Jaji kugawa haki, huna uhakika suala la huyo bibi yako lilikwisha kwa sababu haki ilikuwa upande wake au watu walitimiza tu matakwa ya Rais bila kuangalia haki iko wapi.

Huo Mfumo wa Kangaroo courts ni dalili ya mhimili dhaifu sana wa mahakama.
 
Kwahiyo tufenyeje? Na cc tunaompenda tumchukie??
 
Kanuni ya mawasiliano HANA au HAJUI.
Ukitaka kuzungumza na mtoto shuka katika kimo chake.
She is standing tall all over the time
 
Mama zetu wasingetumiwa kwenda majukwaani kumkatisha Kiongozi akihutubia.,
Ni wachache wanatumiwa kwa jinsi ile, Mama akastukia mchezo.
Hata hivyo jambo lake limesikilizwa palepale japo sio jukwaani.

Mama zetu wasingetumiwa kwenda majukwaani kumkatisha Kiongozi akihutubia.,
Ni wachache wanatumiwa kwa jinsi ile, Mama akastukia mchezo.
Hata hivyo jambo lake limesikilizwa palepale japo sio jukwaani.
Alipaswa kutoa kauli Kama kiongozi na sio majibu ya kitawala vile kwani nilazma ajiaibishe kwa kumkalipia vile mbele ya kamera
 
Alipaswa kutoa kauli Kama kiongozi na sio majibu ya kitawala vile kwani nilazma ajiaibishe kwa kumkalipia vile mbele ya kamera
Huko nyuma kulikuwa na majibu ya ajabu kuliko hayo tena mtu akiitwa mbele ya kamera!! Imekuwa miaka mingi sana mpaka tumeanza kusahau?!?!

Duh..Siku zimeenda.
 
Kanuni ya mawasiliano HANA au HAJUI.
Ukitaka kuzungumza na mtoto shuka katika kimo chake.
She is standing tall all over the time
Mawazo ya kikundi flani kuhusu Mama...sina uhakika kama na wewe umo 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…