TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nashukuru sana kwa taarifa, za mama yule kusaidiwa. Hata hivyo, lugha ya kisiasa ilitakiwa pale ili kutuliza hali ya hewa.Mama Samia, anafanya kazi yake bila kiki kilichofuatia happ muulize yule Mama msaada aliyopewa kutoka kwa wasaidizi wa rais kupata haki yake siyo kila kitu raiis aaeme kwenye kipaza sauti.
Samia angefanya hivyo unavyo taka afanye asingekuwa Samia Tena, angekuwa wewe. U want Samia to be you. Subiri wewe uchaguliwe kuwa Rais halafu ndo ufanye hivyo unavyo taka Samia afanye.
Samia yupo sahihi kabisa
Angekubali wangesema huyo mama ni Tiss kapangwa ana bastola kiunoni!
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Sijui wamama wa nyanda za juu kusini wakiona clip hii hali itakuwaje!!!Alikuwa anaogopa kuletewa nzi na mama mnyonge
Hii Safi, inaondoa unafiki nafiki... mama afuate taratibu atasikilizwa, sio kusubiri barabarani na mabango, mahindi au jogoo.
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Muongo huyo, hao ndio walamba viatuNashukuru sana kwa taarifa, za mama yule kusaidiwa. Hata hivyo, lugha ya kisiasa ilitakiwa pale ili kutuliza hali ya hewa.
Huyu Mkuu hawezi kulamba viatu, kwa mwandiko wake ule. Ha ha haaaa!Muongo huyo, hao ndio walamba viatu
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Magufuli na yeye wamekulia katika mazingira tofauti kabisa! Huyu kakulia katika Familia ya kujiweza hajui shida wakati mwenzie na Jua na Mvua ndo vilikuwa Vyake. Cha Ajabu unapambwa kama MTU wa haki Kwa sababu gani sijui? Wanaangalia ushungi?Yaani nikuambie jamaa yangu! Huyu bibi kama unashida kubwa ya level ya kumuona huwezi kumuona labda uwe fisadi hapo sawa! Ila mganga njaa sahau! Ndo maana hatakiwi kabisa kufanyia ziara kuwatembelea wananchi! Labda kutembelea kwenye matukio tena mikoa mikubwa basi!
Hapo ndipo mtu unajiuliza huo ukubwa wa bureaucracy ya Tanzania ni wa nini?Rais alipaswa kumsikiliza huyu Mwananchi
Huko 'vichochoroni' kuna Miungu watu
Kwani wewe ulitakaje bwana mdogo?
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Angeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Mtafute umuulize yeye!Vp kuhusu alieambiwa aende na kimba lake home?
Huyo ni mwanaccm na mlamba viatu Ila kwa wenye mlengo ule wa swala 5.Huyu Mkuu hawezi kulamba viatu, kwa mwandiko wake ule. Ha ha haaaa!
Hahahahaha I really miss my President JPM…Vp kuhusu alieambiwa aende na kimba lake home?