Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

10M,?? Haitoshi Mkuu

1.Mfamasia pekee anataka approximately 1M per Month na huwa wanataka hela ya kuanzia miezi 6
1000000×6= 6M Kumbuka huyu sheria inamwambia atleast akae pharmacy kuanzia masaa 4 kwa wiki.. hii inamaa akikaa masaa manne kwa wiki huwezi mfanya chochote

2.Pharmacy Technician approximately analipwa 500k na hawezi kuwa mmoja lazima wawe atleast wawili
500,000 X 2 = 1,000,000

3.Lazima upate labda Assistant Pharm-Tech, Dispenser, Nurse au Addo ambao mshahara wao ni approximately 300k

Pharmacist miezi 6 6,000,000
Technician wawili 1,000,000
Assistant 300,000
Umeme 30,000
Kodi 100,000x6 600,000
Mtaji wa Dawa 2,000,000
Alminium na ufundi 4,000,000
Fridge 500,000

Hiyo ni summary tuu mkuu bado kuna cost zinaweza ongezeka au kupungua ....
 
retail pharmacy
[emoji116][emoji116][emoji116]

Wakuu nawasalimu.

Naomba kufahamishwa gharama na taratibu za kufungua duka la dawa muhimu, nipo Dar es salaam.

Nawasilisha.
 
1. Leseni ya umiliki inayotolewaga na TFDA
2. Muuzaji aloyesomea course ya uuzaji na utunzaji wa Dawa muhimu
3. Leseni ya kawaida ya biashara
 
Habari zenu JF,

Naomba msaada nahitaji kufungua duka la madawa lakin bado sielew procedure zake ni zipi..kuanzia umiliki, natkiwa niwe na elimu ipi, sehem ya kupata mzigo wa dawa.

Msaada jamani
 
Habari zenu Jf, naomba msaada nahitaji kufungua duka la madawa lakin bado sielew procedure zake ni zipi kuanzia umiliki,natkiwa niwe na elimu ipi, sehem ya kupata mzigo wa dawa..
Msaada jaman
Na mimi nahitaji kufaham hili asee, na mtaji kiasi gan at least unahtajika.
 
Kuna group la madoctor wanatoa elimu hii sijui jinsi ya kutuma huku link ili mjiunge huko.
 
Wanajukwaa kwema.

Naomba nianze moja kwamoja kwenye hoja yangu ili nipate ushauri. Nimepata kasenti kadogo hivi kama 17m. Sasa nikawaza nifanye biashara gani na wazo likanijia nifanye biashara ya phamacy.

Nimetafuta eneo nimepata sehemu ambayo kodi yake ni laki 5. Sasa najiuliza nianze hiyo biashara kwa hayo mazingira na mtaji utarudi?Ishu ni hiyo kodi ndio inaniumiza kichwa sana. Ila eneo ni nzuri tu.

Naomba ushauri na mawazo zaidi. Ni mimi mpambanaji wa maisha.

Man Army

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phamacy au Duka la dawa muhimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom