Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Kumbe gazeti lenyewe RAIA MWEMA
 
Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi kupindukia. Ile ya kuwashika akina Regemalira ilikuwa wivu tu. Hakupenda watu wengine wawe na hela kumzidi
 
Kile alichofanya maguful hakikua kumshughulikia mtu yoyote bali kupora mali na haki za watu kwakutumia mamlaka nakujimilikisha mali hizo.Angekua ana nia njema na lile jambo angeliacha lifanyike kwa uwazi nakwakufuata sheria.ila yeye aliliendesha gizani tena kwa mabavu wakati sheria zipo.Ni mjinga pekee atakayeamini lile zoezi lilikua la haki.Labda kama uko hapa kupigania dead legacy.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi kupindukia. Ile ya kuwashika akina Regemalira ilikuwa wivu tu. Hakupenda watu wengine wawe na hela kumzidi
Mwizi mno asiyekuwa na huruma na mnafiki na kujiona mfalme. Hii nchi inatakiwa kufanya kazi aliyofanya Nyerere 1961 na 62 kurudisha umoja setup.
 
Kwa vile hayupo kujitetea? Walipomtaja Yusuph Manji na Kabendera nkajua walewale!!! Kikulacho?
 
Unataka ushahidi gani wakat rais ana kinga kisheria.Shutuma zozote zinabaki kua shutuma hadi zitapotajwa vinginevyo.Sasa kama kuna ambayo yalitajwa hatakufanyiwa kazi ulitaka nani ayafanyie kazi wakati seriksli na vyombo vyake vilikuwepo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Naona wananchi wanashangilia kweli kweli humu.

Hebu ngoja nitunze comment yangu but nasema hivi, tutunze pia hii comment kwamba hapo kuna upigaji unatengenezwa na kuna upigaji utakuja tokea landa tu kwa sababu atakayewaumiza ni mtu wenu so hamtasema na kulialia mitaani.
 
Report ya CAG siyo nyaraka? Nchi hii waliokosa uelewa mpo wengi zaidi ya ilivyodhaniwa.
 
Sheria inasemaje?
Wewe johnthebaptist na mwenzako Izia maji sijui mnaulizana nini tu. Inakuwa kama hamjausoma uzi kabisa..

Cheki swali lako kisha cheki jibu la mwenzako Izia maji hapa chini👇👇👇
Sheria ni mbovu na ina mapungufu mengi hivyo inapaswa kurekebisha.
Yaani swali lako na jibu la mwenzako ni kama maji na mafuta..!!

By the way, mleta hoja SemperFI kaeleza vyema kabisa hapa chini👇👇👇juu nini sheria inasema

Plea bargain inasimamiwa na vifungu vya 194A hadi 194H vya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) ya mwaka 1985, Sura ya 20 na makubaliano yaliyofikiwa yatawekwa katika Kumbukumbu za Mahakama. Kanuni za sheria ya plea bargain, zilisainiwa na Jaji Mkuu Februari 5, 2022. Lakini mamia ya raia wa Tanzania na wa kigeni, walielekezwa kupitia utaratibu huo na DPP tangu mwaka 2019.
 
CCM tunakazi ya kuwaomba radhi Watanzania...
 
Nashangaa matahira yanamkumbuka bwana yule,jitu lilikuwa na roho mbaya ya unyang'anyi kabisa, ndiomaana Mungu akaona huyu Kama nitamuacha atawasibu viumbe wangu wengi,

Laana ya Mungu iwe juu yake huko alipo, aangamie Mara elfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…