Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Shetani kabisamwendazake alikuwa tapeli la kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani kabisamwendazake alikuwa tapeli la kimataifa
Mpuuzi wewe,nyie ndio wale mafukara mliokuwa mnafurahia matajiri wakiporwa fedha zaosiwezi kuamini nachokisoma, that is TZ bana wizi mtupu.
Kwa ninavyomjua Rais SAMIA,fedha zao hao watarudishiwa ,japo sio zoteWameachiwa huru lakini nina uhakika hela zao hawatarudishiwa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Jela ingemuhusuHivi magufuli kama asingekufa na akaendelea na madudu yake haya,halafu akaja kustaafu kama marais wengine,hizi tuhuma zingekuja ibuliwa?na kama zingeibuliwa muhusika angejisikiaje?
ExactlyMagufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufuli
We ni tahila dada,Yaani mimi sioni excuse yoyote ya kumtetea mwizi au muovu.
Ilitakiwa wanyang'anywe kila kitu. Wewe kama una mali nyingi kwa nini uibe. Tunakukomoa ili na wengine waogope kuiba.
Sasa mtu akiiba laki moja anaambiwa alipe hio hio unadhani siku ingine ataogopa kuiba. Maana kupatikana umeiba ni kubet.
Atarudia tena na tena. Na kuna wakati hamtambua kama aliiba. So bora hao watumishi wajengewe nidhamu ya woga kwa Sheria kali.
Serikali ya Samia imejaa wapumbavu na wapiga dili. Hawaoni uchungu na ubadhirifu unafaonyika.
Wanapelekea mpaka watu wanakumbwa na magonjwa ya akili sababu ya upumbavu wao wa kushindwa kuweka sera bora za kwa maisha ya watu.
Shaiwn serikali ya hovyo
Kwani zile barabara na madaraja ulizani wanajengea matko!?Mwendazake alikuwa mpiga dili mkubwa.
Halafu Kuna mijitu humu eti inakuambia alikuwa kiongozi mzuri!Eric Kabendera ni investigative Journalist mwenye kiwango cha juu katika kufuatilia na kuchambua.
Kama angekuwa na kosa la kuchafua nchi, basi tungeona Serikali ikimfungulia mashtaka yanayoendana na Sheria ya Huduma ya Habari au Sheria Cyber crime ya Mwaka 2015.
Kitendo cha kumfungulia mashtaka kwa Sheria ya Kuhujumu Uchumi na kutakatisha fedha ni dhahiri kuwa Eric Kabendera alikuwa ameandika habari za ukweli ambazo Serikali haina majibu. Eric Kabendera ambaye Dikteta alimuweka rumande kwa sababu alikuwa anamkosoa.
Mama wa Eric alikuwa anaishi kwa madawa ya Bei ghali. Yule Bibi alimuomba DIKTETA amuachie mwanaye kwa vile hawezi kuishi bila dawa.
Magufuli hakusikia, na hakumruhusu Eric hata kwenda chini ya ulinzi kumuaga mama yake ambaye alifariki kwa kukosa dawa. Ni nani kwa Watanzania tuliobaki anaweza kutenda kama alivyotenda Magufuli kwa Eric Kabendera na Mama yake? Hakuna, ni hilo dubwasha tu SHETANI la Chato
Dar slum tulikua tunakaa kwenye foleni masaa,Kwani zile barabara na madaraja ulizani wanajengea matko!?
Yule Ni tapeli,alikuwa anakwiba anawaonga nyie vimada wakeKwani zile barabara na madaraja ulizani wanajengea matko!?
alikuwa na roho kubwaMagufuli mwenyewe alikuwa mwizi kupindukia. Ile ya kuwashika akina Regemalira ilikuwa wivu tu. Hakupenda watu wengine wawe na hela kumzidi
Tufanye wewe unajuwa makosa ya Eric Kabendera, naomba uyaweke hapa tuyadadavue. Kinyume na hapo funga Domo lako kubwa kama bakuli.Kwa vile hayupo kujitetea? Walipomtaja Yusuph Manji na Kabendera nkajua walewale!!! Kikulacho?
KudadadeqDuka la mwenda limefungwa
Yule Mhutu alikuwa jambazi kabisaNilimsoma mahali Samia akisema zitarudishwa sijui process yake itakuwaje.
haiwezekani mkuu,la kusema ni MUNGU FUNDI!!Kwani daaa tulikuwa kwenye mtumbwi wa vibwengo,eti kuna mijitu inamuona ni shujaa wao!!!Hivi hakuna namna yoyote ya kumfungulia kesi huyu jamaa hata kama kafa ?
Yule Ni tapeli,alikuwa anakwiba anakuja kutuonga sisi tumpe vjmbio vyetu
Hivi hakuna namna yoyote ya kumfungulia kesi huyu jamaa hata kama kafa ?
Huyu huyu Makamu wa Magufuli aliyemteua ruga ruga wa Magufuli, Biswelu Mganga, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu! Kwa kweli akili zetu Watanzania ziko likizo.Kwa ninavyomjua Rais SAMIA,fedha zao hao watarudishiwa ,japo sio zote