Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Una uhakika sio Mtz?
 
Picha Tafafhali
 
🙋‍♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏
 
Mkuu unauhakika huyo unayemuita muarabu sio mtanzania, unaweza kuthibitisha pasipo shaka.

Chuki haimuachi mwenye nayo salama!!
 
Nilichogundua hapa JF, kila baada ya miezi kadhaa, kula thread za kibaguzi dhidi ya wahindi na waarabu.
Iddi Amin ndiyo anatajwa mara kwa mara. Baada ya kuwafukuza wahindi uchumi wa Uganda uliishia wapi? Hao wenzenu weusi walifanikiwa lipi economically? Mpaka wahindi walikaribishwa tena Uganda. Hata majengo yao walirudishiwa. Na saa hizi wanaongoza tena kwenye uchumi wa Uganda.
Huyo Iddi Amin wenu alikimbila Saudi Arabia, kwa Waarabu. Mpaka anakufa alitibiwa bure na kuzikwa huko huko. Kwa nini hakuenda kwa Waafrika wenzake?
Mugabe aliweza nini baada ya kunyang'anya ardhi toka kwa wazungu?
Hao wahindi wa Uganda waliishia Uingereza na Canada, na currently leading business families huko ni wahindi toka Uganda.
Mliwadhulumu wahindi viwanda na majengo yao. Lakini wamebounce back, na wanaongoza kwenye biashara. Karma will never leave you.
Sijui wahindi na waarabu hawajengi nyumba/ majengo Tanzania- tunasikia ngonjera hii kila siku toka wabongo. Mnajua majengo ya mindu street, Upanga ni ya nani? Ni wahindi. Uhuru towers hapo Ali Hassan Mwinyi road ni ya wahindi.
 
Tunaishi kwa husda na roho mbaya
Uchawi na kuwangiana kutwa
Mtu mweusi ni hasidi badala ya kupambana ili awafikie anakuwa mbaguzi wa kijinga
Mugabe jumba lake alilonunua UK nimeliona limeachwa hakuna mwenye shida nalo
Sio serikali ya 🇬🇧 wala wananchi
Panya tu wamejaa
 

Hakuna mipanho miji na sheria zinavunjwa sana na wala rushwa serikalini
 
Acha ubaguzi tena shukuru bongo ardhi ni mali ya serikali!
 
Kariakoo wengi hulipa ili kuondoa shida za packing zao na za wateja wao
 
Wewe ulichokasirika hapaki gari au kuwazuia kupaga bidhaaa? Yeye hap lengo lake duka lake lisizibwe
 
Mkuu unawachukia San hao jamaa, wamewahi kukufnyia kitu gani kibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…