Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Una mbagua mwarabu angalia na wewe usije kuwa ni raia wa Burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Una mbagua mwarabu angalia na wewe usije kuwa ni raia wa Burundi
Una uhakika sio Mtz?Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Picha TafafhaliHili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
🙋♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏Hii sio mbaya kama zilikuwa sokoni zinauzwa
Kujitafutia kipato wapi ? Kwamba frame zimekwisha au ? Kama ni kuhusu Parking na ni Public basi ingekuwa busara wengine kuweza kutumia kama yeye hayupo Au ni kuongea na mipango miji kuona wanafanyaje sababu parking hazitoshi
Wasitumie kufanya nini ? Parking ? Nadhani tatizo la congestion ni la dunia na hii ni angalizo kwa city planners either waweke parking nyingi au nje ya mji na kuwe na public transport nzuri ili watu waweze kufika pa kufikika bila uhitaji wa private cars
Hapo huenda una hoja..., parking itumike kama parking lakini je angekuwa anakuja na kupaki magari yake kwa siku nzima angekuwa sawa...; labda kosa ungesema ni kwa aliyemuuzia kwanini auze sehemu ya public.., sababu kama kauza legally hio sio public tena bali ni private
Huyo Mwarabu sio Mtanzania ? Sababu huenda na yeye ni Mtanzania kama wewe lakini hapa issue ni kama sheria imevunjwa na sio Uarabu wake..., Na nyie kama mnataka parking ili mfanyie biashara na sio kupaki, basi mtakuwa walewale tu wavunja nchi
🙋♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏Wivu
Chuki
Rohombaya
Mkuu unauhakika huyo unayemuita muarabu sio mtanzania, unaweza kuthibitisha pasipo shaka.Ndio maana sometimes naelewa xenophobia ya WA South Africa .
Nchi haiwezi kustawisha raia wake kiuchumi kwa kuruhusu hadi uchuuzi kufanywa na wageni , hii ni kubinya fursa za kiuchumi kwa raia wako ,shughuli za uchuuzi zingeachwa kwa wazawa ili kuondoa barrier of entry hata vijana wanaojitafuta kufanya hizo shughuli na kuanza kupiga hatua kimaisha ,na si kuimport wachuuzi toka Asia kuja hapa na kuvuna wanachovuna na kutumikisha wabongo kama vijakazi
Nilichogundua hapa JF, kila baada ya miezi kadhaa, kula thread za kibaguzi dhidi ya wahindi na waarabu.Sasa na nyie si mnunue lami yote iliyobaki pande zote halafu mzungushe na ukuta kabisa?
Kweli unaandika kabisa eti mwarabu na mtanzania mara mwenye nchi
Tunasema wazungu wabaguzi daaa ukisoma hii utajua ubaguzi mbaya upo huko
Kama ni kosa kafanya si mfungue kesi
Poleni sana ila ubaguzi ni mbaya sana haujawahi kuwa na amani
Tunaishi kwa husda na roho mbayaNilichogundua hapa JF, kila baada ya miezi kadhaa, kula thread za kibaguzi dhidi ya wahindi na waarabu.
Iddi Amin ndiyo anatajwa mara kwa mara. Baada ya kuwafukuza wahindi uchumi wa Uganda uliishia wapi? Hao wenzenu weusi walifanikiwa lipi economically? Mpaka wahindi walikaribishwa tena Uganda. Hata majengo yao walirudishiwa. Na saa hizi wanaongoza tena kwenye uchumi wa Uganda.
Huyo Iddi Amin wenu alikimbila Saudi Arabia, kwa Waarabu. Mpaka anakufa alitibiwa bure na kuzikwa huko huko. Kwa nini hakuenda kwa Waafrika wenzake?
Mugabe aliweza nini baada ya kunyang'anya ardhi toka kwa wazungu?
Hao wahindi wa Uganda waliishia Uingereza na Canada, na currently leading business families huko ni wahindi toka Uganda.
Mliwadhulumu wahindi viwanda na majengo yao. Lakini wamebounce back, na wanaongoza kwenye biashara. Karma will never leave you.
Sijui wahindi na waarabu hawajengi nyumba/ majengo Tanzania- tunasikia ngonjera hii kila siku toka wabongo. Mnajua majengo ya mindu street, Upanga ni ya nani? Ni wahindi. Uhuru towers hapo Ali Hassan Mwinyi road ni ya wahindi.
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Acha ubaguzi tena shukuru bongo ardhi ni mali ya serikali!Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Wewe ulichokasirika hapaki gari au kuwazuia kupaga bidhaaa? Yeye hap lengo lake duka lake lisizibweKwa kuwa ni mwarabu mwenzako umepanik?
Unalipiaje parking kwa ajili ya kufungua duka? Trna kwenye lami? Kama ni hivyo si awe tu machinga?
Waalabu watawanyonya mpaka macho hayo subirini tu watumwa wakubwa,
Halafu huyu wala si mtanzania huyu, hakuna mwalabu yoyote mtanzania
Kama wameweza kuuza viwanja vya shule nyingi kwa manufaa yao, wakauza mpaka Parks zote itakuwa parking tatuHakuna mipanho miji na sheria zinavunjwa sana na wala rushwa serikalini
Mkuu unawachukia San hao jamaa, wamewahi kukufnyia kitu gani kibaya?Hii Nchi biashara ya uchuuzi ingefanywa na wazawa tu , watu weusi na si hawa simbilisi toka Asia ,
Idd Amin nilipenda sera yake hii .
Kuruhusu hawa mbuzi kuja huku na kuziba riziki za wachuuzi na wabangaizaji wazawa watu weusi ni useng€ , kwao hawaruhusu huu upumbavu ,sisi ndio tunaruhusu .
Ufaka huuu
Nguvu gani ya umma ewe Mtanzania muoga?Kama wameweza kuuza viwanja vya shule nyingi kwa manufaa yao, wakauza mpaka Parks zote itakuwa parking tatu
Hawa watu wana tamaa wangeuza mpaka makaburi ila wanaogopa nguvu ya Umma