Dunia haibagui, wanajeshi pamoja na kutamba wanaongoza kuchapiwa wake zao

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kila mtu na mnyonge wake!

Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana.

wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana kwa kuigana hawajambo.

Hawa jamaa hujifanya wanajua sana kupiga shoo za wake za wenzao na mademu za watu kitaa.

Cha ajabu nimefanya utafiti karibia kila mwanajeshi alieoa anachapiwq mke wake kama sio na mwenzake, basi jirani zake, vijana wa kitaa na sisi mabaharia wenye pesa pesa na magari mazuri kuliko uniform zao.

Walioenda Dharfur na Congo DR tumezaa na wake zao, kati ya watoto watatu wawili sio wao, kati. ya watoto watano watatu sio wao.

Tunaongea kwa uhakika , kuchapiwa kupo ila hawa jamaa tunawachapia sana.

Wanajeshi wakubali ukweli sisi raia wenye kipato kuwazidi tunawachapia sana.

Na hatuachi vita ni vita hadi mkianza kuishi kwa ustaarabu ndio tutawaonea huruma.

Nidhamu ya kambini au kazini ionekane na mtaani.

Wadiz a gallant stateman who is makusudically mounting discipline on indiscipline officers.
 
wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana kwa kuigana hawajambo.
Naishi na wanajeshi hawana hizo pigo, mkuu umejaza chumvi tu na kwa kuongezea wajeshi hawana hizo pigo kabisa kabisa tena akiwa mtaani unaweza usimjue hadi siku avae gwanda au afue gwanda ndio unagundua kumbe huyu jamaa naishi nae hapa kapanga ni mjeshi? Maana kuondoka kwao ni giza na kurudi ni giza..

Peace sana hao watu hawana mambo mengi wanaishi maisha yao bila bughuza na mtu, mambo ya kuchapiwa hakuna mwenye muarubaini wa kumzuia mwanamke asichapwe hata awe nani
 
Basi hao ni from staff sergeant onwards lakini hawa tumbili washika silaha Utopolo sana kitaa
 
Naishi na wanajeshi hawana hizo pigo, mkuu umejaza chumvi tu na kwa kuongezea wajeshi hawana hizo pigo kabisa kabisa tena akiwa mtaani unaweza usimjue hadi siku avae gwanda au afue gwanda ndio unagundua kumbe huyu jamaa naishi nae hapa kapanga ni mjeshi? Maana kuondoka kwao ni giza na kurudi ni giza..

Peace sana hao watu hawana mambo mengi wanaishi maisha yao bila bughuza na mtu, mambo ya kuchapiwa hakuna mwenye muarubaini wa kumzuia mwanamke asichapwe hata awe nani
Wanajeshi wengi kwa level za mmoja mmoja huwa watu kama watu wengine ikimaanisha kuna wapole, wakorofi, walevi nk.
Tatizo lao kubwa linakuja wanapokuwa kwenye magroup, hapo ndio utata wao unapoanza.

Ni nadra kusikia mtu karushwa kichura chura na mwanajeshi mmoja. Mara nyingi uonevu wao hutokea wakiwa zaidi ya mmoja.

Kama alivyosema wadiz walio washenzi zaidi ni wale ma kuruta wasiokuwa na vyeo. Na sababu kubwa ya kuwa wakorofi ni kufidia manyanyaso wanayopewa na wakubwa zao.

Hakuna sehemu yenye hierachy ya kipumbavu kama jeshini. Ukiwa mwanajeshi na ukatumwa na mkuu haijalishi kazi gani hupaswi kuhoji wala kukataa.
Utakuta mtu katumwa kusafisha choo nyumbani kwa mkubwa wake halafu unakutana nae anga zake ana hasira za kushika kinyesi, hapo ndio utata wao unaanza.
 
Mimi nmezungumzia mwanajeshi na raia sio mwanajeshi na mwanajeshi, nmesoma Chuo na wanajeshi, nmeishi nao na naishi nao mpaka leo na rafiki zangu wajeshi wapo pale HQ,

Jamaa wapo peace fujo ni tabia ya mtu tu sio kwamba eti ni mwanajeshi basi atakua ana fujo, na pia wanafundishwa nidhamu ya kuishi na raia wa kawaida hawawezi kufanya fujo kwa raia labda uaribu ndani ya kambi yao hapo utawaelewa maana upo ndani ya himaya yao umewaingilia lazima wakufunze adabu
 
Aisee ni kweli hili linatokea sana nchi za magharibi, wakati wote wako vitani, sijui kwenye visiwa, kwenye meli, na cha kusikitisha wanarudi na kujinyonga au kuwaua wake zao kwa wake zao kukutwa wamechapiwa huku wakijua wametoka kujimwambify kwenye nchi za watu au utasikia PSTD... kumbe wanachapiwa. Aiseee inasikitisha
 
Wanajeshi wengi kwa level za mmoja mmoja huwa watu kama watu wengine ikimaanisha kuna wapole, wakorofi, walevi nk.
Tatizo lao kubwa linakuja wanapokuwa kwenye magroup, hapo ndio utata wao unapoanza.

Ni nadra kusikia mtu karushwa kichura chura na mwanajeshi mmoja. Mara nyingi uonevu wao hutokea wakiwa zaidi ya mmoja.

Kama alivyosema wadiz walio washenzi zaidi ni wale ma kuruta wasiokuwa na vyeo. Na sababu kubwa ya kuwa wakorofi ni kufidia manyanyaso wanayopewa na wakubwa zao.

Hakuna sehemu yenye hierachy ya kipumbavu kama jeshini. Ukiwa mwanajeshi na ukatumwa na mkuu haijalishi kazi gani hupaswi kuhoji wala kukataa.
Utakuta mtu katumwa kusafisha choo nyumbani kwa mkubwa wake halafu unakutana nae anga zake ana hasira za kushika kinyesi, hapo ndio utata wao unaanza.
Sawa lakini askari asiye na cheo ni private, kuruta ni askari mwingine tu
 
Naishi na wanajeshi hawana hizo pigo, mkuu umejaza chumvi tu na kwa kuongezea wajeshi hawana hizo pigo kabisa kabisa tena akiwa mtaani unaweza usimjue hadi siku avae gwanda au afue gwanda ndio unagundua kumbe huyu jamaa naishi nae hapa kapanga ni mjeshi? Maana kuondoka kwao ni giza na kurudi ni giza..

Peace sana hao watu hawana mambo mengi wanaishi maisha yao bila bughuza na mtu, mambo ya kuchapiwa hakuna mwenye muarubaini wa kumzuia mwanamke asichapwe hata awe nani
Kwenye kuchapiwa hapo hakuna bingwa inategemea na mwanamke mwenyewe tu,haihuaiani na kazi ya mtu!!ila hapo kwenye kujiona napingana na wewe,Asilimia kubwa ya wanajeshi wa vyeo vya chini wengi hawajitambui na hili ni kutokana na kiwango chao cha elimu.Hizo sifa ulizosema hapo juu ni wale maafisa kuanzia nyota moja ndio hujitambua na wako peace sana!!huwezi wakuta kwenye mizozo ya ajabu ajabu!!ila hawa wa kidato cha nne,anataka kila anapokuwepo ajulikane yeye ni mwanajeshi!!!bahati nzuri siku hizi hatua zinachukuliwa sana pale wanapofanya utemi wa kishamba!!
 
Sawa lakini askari asiye na cheo ni private, kuruta ni askari mwingine tu
Nimeandika ki 'layman' sikutaka kuwa specifc ki rank.
Mtaani ukisema kuruta moja kwa moja inaeleweka ni askari/mwanajeshi asiekuwa na cheo ama cheo cha chini. Haimaanishi ni sahihi bali ni lugha inayoeleweka kuliko corporal na private.

Ni sawa na kuita petrol station sheli (shell) ama dawa ya meno colgate (kutokujali jina husika la brand).
 
Kwenye kuchapiwa hapo hakuna bingwa inategemea na mwanamke mwenyewe tu,haihuaiani na kazi ya mtu!!ila hapo kwenye kujiona napingana na wewe,Asilimia kubwa ya wanajeshi wa vyeo vya chini wengi hawajitambui na hili ni kutokana na kiwango chao cha elimu.Hizo sifa ulizosema hapo juu ni wale maafisa kuanzia nyota moja ndio hujitambua na wako peace sana!!huwezi wakuta kwenye mizozo ya ajabu ajabu!!ila hawa wa kidato cha nne,anataka kila anapokuwepo ajulikane yeye ni mwanajeshi!!!bahati nzuri siku hizi hatua zinachukuliwa sana pale wanapofanya utemi wa kishamba!!
Ndio kweli sijakataa kwamba wapo wanaokengeuka baadhi maana fujo ni tabia tu ya mtu sio kwamba ni mwanajeshi basi atakua ana fujo kwa raia, mkuu mimi nmeishi nao na still naishi nao ndio maana nakwambia hivyo, km ni fujo basi itakua ni tabia tu ya mtu sio kwamba kisa eti ni mwanajeshi basi ni mtu wa fujo kwa raia hapana,

Ila km ukiwaingilia kambini kwao na kwenda kufanya uhalifu basi wakikudaka lazima watakufunza adabu ukiwa kambini hapo hapo hawanaga masuala ya kumpeleka mtu polisi sijui nini yaani wanamalizana na wewe pasu kwa pasu maana umewaingilia kambini na umewafanyia uhuni au uhalifu Ila kwa mtaani hua hawana fujo kwa raia,
 
Hata ww ambaye upo hapa una jitapa kuwachapia wanajeshi pia na ww mkeo anagongwa na wengine na mbaya zaidi waweza kuta anagongwa bure na vijana wadogo wanyoa viduku ambao ww umekuwa ukiwadharau na kuwaona ni vijana wa hovyo na wachafu.

Suala la kuchapiwa huwa halina mwenyewe ,hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumlinda binadamu mwenzake.
 
Kila mtu na mnyonge wake wakienda misheni au program maalumu tunafanya yetu unyama unyamani
 
Muda unao kuwa unawashughulikia hao wake wa wana jeshi na ndo muda huo huo mkeo naye anakuwa anashughulikiwa na wahuni wa kitaa tena kwa kuwahonga pesa unazo mpa ww.
 
Mimi kiranja na Kiongozi Mkuu wa ndoa ni ufala, kataa ndoa kataa kuoa. Reciprocity doesn't apply
 
Back
Top Bottom