JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wewe jamaa ID Yako inazingua sana. Nimesoma comment #8 , naona jamaa ana likes kadhaa and "4400 others" . Sasa najiuliza huyu jamaa comment yake ina likes nyingi namna hii!? Sasa ndio nagundua kuwa hii "4400 others" ni ID tu wala si number of likes.Jamaa hawana fujo kwa raia, na ikibainika kafanya fujo kwa raia basi anafukuzwa kazi na anaweza kukabidhiwa kwa polisi ashtakiwe km raia wengine ingawa hua wana mahakama zao za kijeshi