Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Achana nae... Attention seeker HuyoSijui ulichomaanisha, ila mada hizi hamjui kuwa mnapambania jambo linalodharaulisha jinsia ya kiume vibaya sana. Mada za kuchapiwa sijui twasherehekea nini hasa sisi kama wanaume maana kwenye hayo matendo na sisi wanaume tumo halafu unaitumia kuisagia sumu jinsia yako tena au unayatumia kuonyesha udhaifu wa mwanamke, yaani it's very illogical [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ona.
Jaribu kufatilia alivoviandika
Mwenye pesa hayuko hivo
Mcheza kamari ana pesa Nyingi mpk anapata jeuri ya kutembea na wake za wajeda...
Tupo hapa Ipo siku utatia simanzi.