Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Achana nae... Attention seeker HuyoSijui ulichomaanisha, ila mada hizi hamjui kuwa mnapambania jambo linalodharaulisha jinsia ya kiume vibaya sana. Mada za kuchapiwa sijui twasherehekea nini hasa sisi kama wanaume maana kwenye hayo matendo na sisi wanaume tumo halafu unaitumia kuisagia sumu jinsia yako tena au unayatumia kuonyesha udhaifu wa mwanamke, yaani it's very illogical [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ona.
Na wanaongoza kuchapa wagoni wao!! Kuchapiwa siyo udhaifu majukumu yao ya ulinzi wa taifa kwa kuwa mbali na familia. Siku wakiwafuma wagoni wao huwa tunaapa sigusi mke wa mjeshi.Kila mtu na mnyonge wake!
Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana.
wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana kwa kuigana hawajambo.
Hawa jamaa hujifanya wanajua sana kupiga shoo za wake za wenzao na mademu za watu kitaa.
Cha ajabu nimefanya utafiti karibia kila mwanajeshi alieoa anachapiwq mke wake kama sio na mwenzake, basi jirani zake, vijana wa kitaa na sisi mabaharia wenye pesa pesa na magari mazuri kuliko uniform zao.
Walioenda Dharfur na Congo DR tumezaa na wake zao, kati ya watoto watatu wawili sio wao, kati. ya watoto watano watatu sio wao.
Tunaongea kwa uhakika , kuchapiwa kupo ila hawa jamaa tunawachapia sana.
Wanajeshi wakubali ukweli sisi raia wenye kipato kuwazidi tunawachapia sana.
Na hatuachi vita ni vita hadi mkianza kuishi kwa ustaarabu ndio tutawaonea huruma.
Nidhamu ya kambini au kazini ionekane na mtaani.
Wadiz a gallant stateman who is makusudically mounting discipline on indiscipline officers.
Big up saaana mwamba[emoji23][emoji23][emoji23]Hata ww ambaye upo hapa una jitapa kuwachapia wanajeshi pia na ww mkeo anagongwa na wengine na mbaya zaidi waweza kuta anagongwa bure na vijana wadogo wanyoa viduku ambao ww umekuwa ukiwadharau na kuwaona ni vijana wa hovyo na wachafu.
Suala la kuchapiwa huwa halina mwenyewe ,hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumlinda binadamu mwenzake.
Nimeandika ki 'layman' sikutaka kuwa specifc ki rank.
Mtaani ukisema kuruta moja kwa moja inaeleweka ni askari/mwanajeshi asiekuwa na cheo ama cheo cha chini. Haimaanishi ni sahihi bali ni lugha inayoeleweka kuliko corporal na private.
Ni sawa na kuita petrol station sheli (shell) ama dawa ya meno colgate (kutokujali jina husika la brand).
Nilishawahi kukudanganya nini???Wewe nae achaga uongo kuruta si mwanajeshi kuruta ni wale wa mafunzoni ambao wapo jkt
Ukishapata ajira huitwi tena kurutaa [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Mi naish nao jirani,na tabia zote alizozitaja ni kweli wasumbufu , makelele yaani ujuaji ,ubabe wa kijinga, wanakera kwa kweliNaishi na wanajeshi hawana hizo pigo, mkuu umejaza chumvi tu na kwa kuongezea wajeshi hawana hizo pigo kabisa kabisa tena akiwa mtaani unaweza usimjue hadi siku avae gwanda au afue gwanda ndio unagundua kumbe huyu jamaa naishi nae hapa kapanga ni mjeshi? Maana kuondoka kwao ni giza na kurudi ni giza..
Peace sana hao watu hawana mambo mengi wanaishi maisha yao bila bughuza na mtu, mambo ya kuchapiwa hakuna mwenye muarubaini wa kumzuia mwanamke asichapwe hata awe nani
Jirani kivipi mimi nimewapangisha nakwambia sio wasumbufu na hawana makuu, unabishana na ukweli?Mi naish nao jirani,na tabia zote alizozitaja ni kweli wasumbufu , makelele yaani ujuaji ,ubabe wa kijinga, wanakera kwa kweli
We acha uongo ni wakorofi na mafujo, mi juz nimetoka kuwapeleka polisi kwa fujo zao,wako wananililia hapa nisiende kwa mkubwa wao watafukuzwa kazi,Mimi nmezungumzia mwanajeshi na raia sio mwanajeshi na mwanajeshi, nmesoma Chuo na wanajeshi, nmeishi nao na naishi nao mpaka leo na rafiki zangu wajeshi wapo pale HQ,
Jamaa wapo peace fujo ni tabia ya mtu tu sio kwamba eti ni mwanajeshi basi atakua ana fujo, na pia wanafundishwa nidhamu ya kuishi na raia wa kawaida hawawezi kufanya fujo kwa raia labda uaribu ndani ya kambi yao hapo utawaelewa maana upo ndani ya himaya yao umewaingilia lazima wakufunze adabu
Wapi unazungumzia? Maeneo hayafanani wewe unazungumzia wapi?We acha uongo ni wakorofi na mafujo, mi juz nimetoka kuwapeleka polisi kwa fujo zao,wako wananililia hapa nisiende kwa mkubwa wao watafukuzwa kazi,
ArushaWapi unazungumzia? Maeneo hayafanani wewe unazungumzia wapi?
Mimi nipo Dar, kwa hio location na watu watu hawafanani huku mda mwingi wanajeshi wapo kambini hawana huo mda wa kusumbuana na raia kijingajinga, na hawa niliowapangisha sasa hivi wapo Zanzibar nahisi watakua wameenda kwenye course hua wanarudi mara moja moja sio wakukaa hapa mda woteArusha