Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

Hii comment ngoja nikaiwekee lamination
 
Achana na hayo makoloni.
 
Mi na wewe tunafanana vitu vingi sana...

1. Kuwa na Mademu wengi (sema Mimi n bahili sana)

2. Shabiki lialia wa Liverpool

3. Shabiki lialia wa Dar Young African

4. Mtu wa bata

Tofauti yangu na wewe nu moja Tu

NIMEKUBALI NDOA [emoji81][emoji1787]
 
🀣🀣🀣vifupi sasa🀣🀣🀣eti cku🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umesahau moja ulisoma HKL mimi nilisoma PCB..!!!

#YNWA
 
We mbwa una MASTERS OF SCIENCE NI MAPENZI-OLOGY
Unajua hatari...!!!

To yeye huyu mwamba anafaa kutunzwa sanaaa
Ni HAZINA YA TAIFA.

#YNWA
 

...aya
...kabra
...ela

Hao ni wasomi wanaandika hivyo
 
Mkuu hata tukisoma wote na hawawezi kuisha lakini mkuu haibadilishi ukweli kwamba hawa watu wanatofautiana kama ambavyo hata sisi wanaume tuna tofautiana.
Mjomba inaonekana ulivokua na mahusiano nao ulikua unagawa sana pesa aisee.
Yaani ni mmoja tu ndo anataka umnjunje wengine wote wanataka utume muamala...

Mwanangu una pesa kula kula kula tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kuna hii PISI bwana nilikutana nayo 31/07 Rombo Bar juzi nikachukua namba.
Tarehe 02/08 nikaitafuta na kuchat nayo.
Ikaniambia inataka hela ya Nanenane ikafanye shopping, nilimuahidi nitamkupa.

Sasa tokea asubuhi ameniganda, kwamba aje nanenane nimpe hela ye afanye shopping.

Nikaona anakomaa.
Sasa cheki jibu nililomjibu..!!



Anaenda kupewa hela guest@Kabwe.

Yaani simjui HANIJUI, Anataka nimpe hela kirahisii kisa nimeomba namba.

#YNWA
#YANGA BINGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…