Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

Sawa tumekuelewa. Ila kuoa tutaoa tu.

Hao shetani wawili, watatu hawawezi kututoa kwenye reli na kuwachafua malaika kibao tunaowajua na tusiowajua.
Ukute huyo unatesema ni malaika,kuna meseji yake hapo kwa mdau,SIRI zinafanya mambo yaonekane sawa.
 
Ety Yanga bingwa daah
 
Mzee unaombwaje hela kama unadaiwa? Yan anakwambia unanipa hela au hunipi? Serious bro? Na unajibu kwa heshima na stara. Anapata wapi audacity ya kuomba kwa style hiyo

Mkuu hawa wanawake unaochat nao naanza kupata picha namna gani wewe ulivyo.
 
Ukitaka kuishi kwa Amani kuwa na mentality ya kwamba mkeo ni mwanadamu mwenzako ambaye mnaishi naye pamoja ila sio wako pekeako. Akipigwa poa na asipopigwa mshukuru Mungu
 
Mzee unaombwaje hela kama unadaiwa? Yan anakwambia unanipa hela au hunipi? Serious bro? Na unajibu kwa heshima na stara. Anapata wapi audacity ya kuomba kwa style hiyo

Mkuu hawa wanawake unaochat nao naanza kupata picha namna gani wewe ulivyo.
Nacheza na mentality yake.
Nachotaka ni mbuny(e).

Huyu mi simjui, nilionana nae 31/07 Hukuhuku Mbeya.

Na-act mpole na viticm ili aingie line.

Akishaliwa na HABARI ITAISHIA HAPO.

NB:-
Nakushauri jifunze kucheza na akili zao.

#YNWA
 
Akili zao tunacheza nao na bado hawezi niamrisha kwa lolote. Hela nitoe na bado aniambie natuma au situmi? Bruh thats insane
Mimi ni bahili hasaa kuhonga, nina ndoto kubwa sanaaa.

Akiondoka na hela nyingiii ni 10k hapo kajitahidi kunipa mauno ya haja.

Play your game, let me play mine

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimesikitishwa sana hili
 
Hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…