Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

Hawa unaokutana nao ni Malaya,kitaalamu wanaitwa ni"transactional sexual workers",na kwa nchi masikini sub-saharaa African na East Asia,"Transactional sectual intercourse" ni leading sexual behaviour ya HIV transmission ,zaidi ya sexual workers wa kawaida,na tofauti na sexua worker transactonal sexual behaviour,hapa unaweza kukuta daktari kama huyo,nesi,mwalimu,mbunge,mke wa mtu,wanafunzi wa vyuo etc etc......motive yao inakua tamaa ya kupata zaidi ya walicho nacho,....ni trend inayotrend sana Kwa wasichaa wa Tanzania,.....nadhani Kuna haya ya kuaianzishia uzi hapa Jamvini wati wawr aware nayo
 
Transaction sexual intercourse haina uhusiano wa moja Kwa Moja na umasikini,ni tabia kama kama ilivo utapeli,wizi etc,inahitajika awareness na mafunzo ya binti zako hasa sisi wazazi jinsi ya kuwa huru na kutofuata tabia za mikumbo,hii wameiweza sana wahindi,waarabu na wazungu
 
Kitendo cha kukutana na mwanamke Bar,na ukamuomba namba 98% huyo ni Malaya,badilisha focus ya wanawake unaopaswa kuhang nao,bado wanawake wazuri wapo wengi sana,......
Pia umri ......nauhakika unaokutana nao Wana miaka zaidi ya 24,sasa mwanamke amelala sana na wanaume hostel,aje kuvunja moyo wako,ushangae na kupinga useme wanawake wote Malaya?
 
Mzee unaombwaje hela kama unadaiwa? Yan anakwambia unanipa hela au hunipi? Serious bro? Na unajibu kwa heshima na stara. Anapata wapi audacity ya kuomba kwa style hiyo

Mkuu hawa wanawake unaochat nao naanza kupata picha namna gani wewe ulivyo.
You are what you hang on..............anazungukwa na Malaya,single mother,broken heart women,.........Abadilishe focus,Dunia ni kubwa sana hii
 
😀😀NDOA NI UTAPELI
 
Nacheza na mentality yake.
Nachotaka ni mbuny(e).

Huyu mi simjui, nilionana nae 31/07 Hukuhuku Mbeya.

Na-act mpole na viticm ili aingie line.

Akishaliwa na HABARI ITAISHIA HAPO.

NB:-
Nakushauri jifunze kucheza na akili zao.

#YNWA
Booooom
 
Siku ukienda iringa au Moshi utupe na screen short za watumishi wa huko ..
Alaf mbona ujatuonesha picha za majibu yako..ukute ujamtumia hata mmoja afu unakuja kulalamika ujinga hapa
 
Siku ukienda iringa au Moshi utupe na screen short za watumishi wa huko ..
Alaf mbona ujatuonesha picha za majibu yako..ukute ujamtumia hata mmoja afu unakuja kulalamika ujinga hapa
Yanga BINGWA brazaa

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…