britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !
1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya
shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na kimataifa niliwakilisha vema
2. Nimeangalia documentaries na serial kadhaa za sayansi, siasa, makumbusho na hata za mapunduzi na mauaji Ya watawala kadhaa
3. Nimetembelea Nchi zaid ya 120 duniani hapa
- Sweden , England , Norway , Italy , Denmark, Slovenia, Estonia , Lativia , Macedonia, Lithuania, Ukraine, Moldova, Armenia, Krygztan, Hizo nilikaa muda usiozidi miezi mitatu kila nchi ,
- Russia, Peru, UAE, Japan, Belize , USA,
Hizi nimeishi kabisa kwa kazi maalumu,
- North Korea , Israel, Nepal , Thailand, Laos, Vietinam na China, hizi nilienda kwa Tafiti za Jarida fulan japo za North Korea tulinyang’anywa data !
- Kenya, Uganda, Maldavies , Botswana, Rwanda, Eritrea , Egypt, hizi kwa Kazi maalumu za Tanzania
- ireland , Hongkong, Macau, Malaysia , tulienda program fulan ya NSSF kipindi cha RAMADHANI ya Wa DAU
- Luxembourg na Canada haya yalikuwa Matembezi yangu Binafsi
- Poland , German , France (Mafunzo maalumu miezi 3, 3, 3)
Sasa napokuwa maeneo hayo sibweteki najifunza mambo na baada ya utawala wetu wa kishetani kutoka madarakani nikaacha kuwa anonymous Ntaandika kitabu ntaweka na Documentary YouTube maana video nazitunza vema since 2000 nimeanza hizi safari
4.KUHUSU MAPENZI SIJITESI SANA NINA EXPERIENCE YA KUTOSHA KWA VITENDO NA KUSHUHUDIA
NZURI ZAIDI KUNA JAMAA NIMEKUWA ADDICTED KUANGALIA SHOW ZAKE ZA KUWANASA CHEATERS KWENYE MAPENZI NI MKENYA ANAITWA COMRADES FLAVOR (BMS) ukiangalia video zake 5 Iive huwezi taman kuoa au kuolewa, au huwezi danganywa tena!
5. Kuhusu wizi wa vyama tawala usihangaike kuwa ndani ya CCM , nimebahatika kuwa karibu na kikwete, Samia akiwa waziri, Magufuli, naelewa sana mambo mengi ! Hunidanganyi jambo !
6.kuhusu uelewe wa watanzania pitia comments kwenye platforms kama JamiiForums hasa machawa! Face book na kwingine
7. Kuhusu utajiri na uwekezaji hapa ni Muhimu sana niwape docs nazopitiaga nta UPDATES
Britanicca