Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

Bro Britanica, shukrani kwa hili andiko, hakika tumetembea njia moja ingawa hatufahamiani!

I love comred flavor, na hizi video chini hapa zimebadili Mtazamo wangu wa ndoa na Mwanamke mazima!

Wanaume angalieni hizi video 3 mtajifunza sana, huwezi kusalitiwa na:

1. Mungu
2. Pesa yako

Na hivyo ndo vipaumbele vyako, Hawa wa awake waacheni.

View: https://youtu.be/Pavay1BqqZM?si=6060zPyMZNf0RPSp

View: https://youtu.be/Nl2QA1NFV3c?si=xx9wXbo5y7RoFXZz

View: https://youtu.be/5VWBFAgkqOc?si=OkFRtn0Oetmxw2qL

Ukimaliza hizi video 3 then tasakati sana, 99% ya wanawake kwenye hii show ni Chali, zaidi ya wanaume!

HAWA ndo wake zetu Wazee!

Hatari sana
 
Hata AI pia sio ya kuitegemea sana.

Lazima uwe na multiple sources.
AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆
IMG_8878.png
 
AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆View attachment 3644846
Mkuu, META AI sio aisee, ni miyeyusho. Ni kama ipo kwenye majaribio vile, natumia gemini na chatgpt ziko vizuri, zikifuatiwa na deepseek.

Ila katika hizo safari zote ulipata connection ya namna ya kununua sniper ya black market?
 
Watu kama hawa huwa ni madebe matupu tu...

Sucess makes you humble, kwanza umeandika vitu trivial tu..

Kama kweli umefanikiwa Unge extend hizo knowledge kwa watu humu.

Encyclopedia bongo! 😉 kwa mwandiko huoo, hebu lala bwana usiku wa manane wote huu...

Successful people don't talk, they doo
Ungekuwa umeshaweka docs, na kutoa mbinu za watu kujikwamua.. Sio kusema Nimesoma this and that but nothing to offer
Aisee!
Yaani makasiriko yote hayo ni vile hajaweka docs zinazo toa mbinu za kujikwamua?
Ukitaka ku-copy mbinu ya mtu mwingine ili ufanikiwe utashindwa tu,iamini njia unayo pita huku ukiifanyia marekebisho utafanikiwa.
 
Hii ni moja ya ID ninoifikiria sana inaweza kuwa ya nani mtu maarufu kwenye fani fulani, na pengine huyu ni mwalimu wangu kwenye tasnia nilizo nazo. Hizi details kwa uchache zinanifikirisha sana
 
AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆View attachment 3644846

Sasa mkuu AI si inalishwa kwanza? Watanzania hawahawa wamechangia nini kwenye global information base? Taarifa za East Africa zinazowekwa kwnye mitandao ili watu wazitumie zinawekwa na wakenya including za Tanzania wabongo tumelala tu zaidi ya uchawa tunachungulia watu chooni tu! Mchango wetu kwa maendeleo ya dunia ni mdogo sana yani so hatuwezi laumu google wala AI kwa kuwa zinatupa information zilizowekwa kwnye mtandao nani mbongo kaandika ili ukisearch upate? Wasomi wetu ni sawa tu na wasiosoma kbs, tatizo la jamii nzima hili

Kwa sasa ukiacha jf ni wapi kwingine watanzania wanaandika? Na hapa namba ya quality information imeshuka sana miaka ya karibuni, hamna vitabu, majarida, machapisho, hata tafiti nyingi ni za kupika na hazitolewi zinakula vumbi tu kwnye mashelf

Angalau Zamani kulikua na waandishi japo manually Ila walitoa vitabu na tukaenjoy, leo hii search kitabu kipya cha kiswahili iwe ebook au physical Kama utapata!

Usemi wa kiswahili ukiona vyaelea vimeumbwa, so ukiona google na AI ujue watu wameumiza vichwa haioti kama uyoga
 
Sasa mkuu AI si inalishwa kwanza? Watanzania hawahawa wamechangia nini kwenye globall information base? Taarifa za East Africa zinazowekwa kwnye mitandao ili watu wazitumie zinawekwa na wakenya including za Tanzania wabongo tumelala tu zaidi ya uchawa tunachungulia watu chooni tu! Mchango wetu kwa dunia ni mdogo sana yani so hatuwezi laumu google wala AI kwa kuwa zinatupa information zilizowekwa kwnye mtandao nani mbongo kaandika ili ukisearch upate? Wasomi wetu ni sawa tu na wasiosoma kbs, tatizo la jamii nzima hili
Yaani mimi mpaka leo sielewi undugu wa Jasusi Ben Membe na Jakaya Kikwete ni ndugu wa kuzaliwa, ni marafiki tu au vipi. Historia haijaandikwa vizuri na sisi watanzania wenyewe.

Uraia wa JPM ulikuwa na mashaka kuwa ni Mnyarwanda. Sasa ishu hiyo si ilikuwa rahisi tu kwa kuangalia shule alizosoma nk na kuandika historia sahihi. Hatuna kumbukumbu. Hata Kizimkazi hatujui kama ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi au wazazi wake ni kina nani. AI itakula matango pori ya wakenya.

Philipo Mpango alipoteuliwa kuwa Makamu wa Rais kile chama cha siasa cha Burundi kilimpongeza kwenye facebook kama mmoja wao, sasa je Mpango ni mrundi au mtanzania?? britanicca
 
Mkuu hatuna reference ya mambo mengi sana hata hawa watawala wa sasa hatuwajui huwa wanaibuka tu tunaishi kwa mihemko zaidi na kushutumiana tu! Msemaji katoa yake hapa naona anashambuliwa tu na wanaomshambulia ukiuliza michango yao nini utakuta no mbolea tu ya samadi aina ya madufe!

Hatuna kumbukumbu tunazoweka kwenye maandishi sasa na wala zamani kila habari Ina upande na maslahi kila mtu kwa sasa anapambana na ukweli, uongo umetamalaki nchi nzima na kizazi karibu chote! Kikwete kamaliza utawala wake nina uhakika asipoandika Kama Mkapa atakufa na kuondoka na miaka 50 ijayo hamna mtu atamkumbuka!

Nani anakumbuka skendo za Meremeta, EPA, Kagoda, na Richmond za majuzi tu leo hii? Kuna kitu chochote kwnye public domain cha watu kujifunza kuhusu watawala walivyokula nchi miaka ya nyuma? Search uone aibu
 
Watu kama hawa huwa ni madebe matupu tu...

Sucess makes you humble, kwanza umeandika vitu trivial tu..

Kama kweli umefanikiwa Unge extend hizo knowledge kwa watu humu.

Encyclopedia bongo! 😉 kwa mwandiko huoo, hebu lala bwana usiku wa manane wote huu...

Successful people don't talk, they doo
Ungekuwa umeshaweka docs, na kutoa mbinu za watu kujikwamua.. Sio kusema Nimesoma this and that but nothing to offer
Kwani alikwambia amekuja kuokoa ulimwengu au Tanzania??
 
Back
Top Bottom