Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

Mkuu hatuna reference ya mambo mengi sana hata hawa watawala wa sasa hatuwajui huwa wanaibuka tu tunaishi kwa mihemko zaidi na kushutumiana tu! Msemaji katoa yake hapa naona anashambuliwa tu na wanaomshambulia ukiuliza michango yao nini utakuta no mbolea tu ya samadi aina ya madufe!

Hatuna kumbukumbu tunazoweka kwenye maandishi sasa na wala zamani kila habari Ina upande na maslahi kila mtu kwa sasa anapambana na ukweli, uongo umetamalaki nchi nzima na kizazi karibu chote! Kikwete kamaliza utawala wake nina uhakika asipoandika Kama Mkapa atakufa na kuondoka na miaka 50 ijayo hamna mtu atamkumbuka!

Nani anakumbuka skendo za Meremeta, EPA, Kagoda, na Richmond za majuzi tu leo hii? Kuna kitu chochote kwnye public domain cha watu kujifunza watawala walivyokula nchi miaka ya nyuma? Search uone aibu
Una hoja usikilizwe
 
Vitabu nilikuwa nasoma zamani ila sio kwa sasa.

Ila nusu ya usiku huwa nautumia kujifunza mambo mtambuka, hii ni kila siku.

Kama hivi hapa nipo naperuzi huu uzi ndio kawaida yangu.
Imekuaje ukaendelea kuwa chawa wa CCM?
 
Imekuaje ukaendelea kuwa chawa wa CCM?
Mimi sio Chawa ni Mfurukutwa.

Watu wakiamka huwa nakuwa macho tu mkuu.

Kupumzika ni Mbinguni hapa duniani ni kazi tu.
 
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !

1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya
shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na kimataifa niliwakilisha vema

2. Nimeangalia documentaries na serial kadhaa za sayansi, siasa, makumbusho na hata za mapunduzi na mauaji Ya watawala kadhaa

3. Nimetembelea Nchi zaid ya 120 duniani hapa
- Sweden , England , Norway , Italy , Denmark, Slovenia, Estonia , Lativia , Macedonia, Lithuania, Ukraine, Moldova, Armenia, Krygztan, Hizo nilikaa muda usiozidi miezi mitatu kila nchi ,

- Russia, Peru, UAE, Japan, Belize , USA,
Hizi nimeishi kabisa kwa kazi maalumu,

- North Korea , Israel, Nepal , Thailand, Laos, Vietinam na China, hizi nilienda kwa Tafiti za Jarida fulan japo za North Korea tulinyang’anywa data !

- Kenya, Uganda, Maldavies , Botswana, Rwanda, Eritrea , Egypt, hizi kwa Kazi maalumu za Tanzania

- ireland , Hongkong, Macau, Malaysia , tulienda program fulan ya NSSF kipindi cha RAMADHANI ya Wa DAU

- Luxembourg na Canada haya yalikuwa Matembezi yangu Binafsi

- Poland , German , France (Mafunzo maalumu miezi 3, 3, 3)

Sasa napokuwa maeneo hayo sibweteki najifunza mambo na baada ya utawala wetu wa kishetani kutoka madarakani nikaacha kuwa anonymous Ntaandika kitabu ntaweka na Documentary YouTube maana video nazitunza vema since 2000 nimeanza hizi safari


4.KUHUSU MAPENZI SIJITESI SANA NINA EXPERIENCE YA KUTOSHA KWA VITENDO NA KUSHUHUDIA
NZURI ZAIDI KUNA JAMAA NIMEKUWA ADDICTED KUANGALIA SHOW ZAKE ZA KUWANASA CHEATERS KWENYE MAPENZI NI MKENYA ANAITWA COMRADES FLAVOR (BMS) ukiangalia video zake 5 Iive huwezi taman kuoa au kuolewa, au huwezi danganywa tena!

5. Kuhusu wizi wa vyama tawala usihangaike kuwa ndani ya CCM , nimebahatika kuwa karibu na kikwete, Samia akiwa waziri, Magufuli, naelewa sana mambo mengi ! Hunidanganyi jambo !

6.kuhusu uelewe wa watanzania pitia comments kwenye platforms kama JamiiForums hasa machawa! Face book na kwingine

7. Kuhusu utajiri na uwekezaji hapa ni Muhimu sana niwape docs nazopitiaga nta UPDATES

Britanicca
Mkuu umekula Sana Kodi za watanzania
 
Huwa nasema kama mtu amesoma makala,magazeti na kuangalia documentaries nyingi na kasoma vitabu vingi kunizidi,basi atakua hayupo sawa kiakili,..

encyclopedia ya Kwanza kusoma nilikua primary school tuliletewa shuleni inaitwa microsoft encarta,.

Maarifa is a Gift and a curse.,tukupe pole au hongera??
 
Ebwana e u tueleze kuna tofauti mbunye ya kidhungu na hizi za warembo wetu wa tz?
 
Huwa nasema kama mtu amesoma makala,magazeti na kuangalia documentaries nyingi na kasoma vitabu vingi kunizidi,basi atakua hayupo sawa kiakili,..

encyclopedia ya Kwanza kusoma nilikua primary school tuliletewa shuleni inaitwa microsoft encarta,.

Maarifa is a Gift and a curse.,tukupe pole au hongera??
Encarta Hiyo waliweka kwenye microsoft was very limited, na ni ya Recent nimeitumia nikiwa chuo
 
Pamoja na yote hayo umelisaidia nini taifa?
Kazi zote hizo maalum mwisho wa siku ndio kutuletea za ndani kabisa ambazo technically hazina msaada kwa taifa zaidi ya kuwa kama umbeya tu.
Kwa exposure uliyopata nyinyi ndio mlitakiwa kuwa mmefanya kitu ndani ya taifa hili sadly mnaishia kutupa umbeya wa jikoni ambao hauna umuhimu wowote kwa walalahoi kama sisi.
Mengi sana
 
Back
Top Bottom