britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ni zangu mi nimeanza kazi zamani ! Na pia nazunguka kwa pesa zangu! Mara ya Mwisho CCM kunipa pesa nifanye kazi ndani ya chama kumchnguza mtu fulan ilikuwa 2007! Na sifichi ilikuwa 20M wakati huo ni pesa mingiWataokuja DM halali yako
Ila nakubali unaonekana umezunguka dunia kwa pesa zetu za kodi
Mwanaume gani anajiita makebo 😂, utakuwa mwehu au shoga weweWataokuja DM halali yako
Ila nakubali unaonekana umezunguka dunia kwa pesa zetu za kodi
Mh braza ,what's up nigga?Ni zangu mi nimeanza kazi zamani ! Na pia nazunguka kwa pesa zangu! Mara ya Mwisho CCM kunipa pesa nifanye kazi ndani ya chama kumchnguza mtu fulan ilikuwa 2007! Na sifichi ilikuwa 20M wakati huo ni pesa mingi
Haha Britanicca encyclopedia, kipindi hiko hakuna google wala Wikipedia,Mkuu.
Wangapi wanaifahamu encyclopedia humu, achilia mbali kuiona?.
Ila usinitishe mie nilisoma short hand, lakini sijawahi ifanyia kazi!.
angalia senge hili siku ya pili hii limeshindwa kulala linaniwaza, nilishakwambia situmii mixundu, usiku wewe jitie midole ulaleMwanaume gani anajiita makebo 😂, utakuwa mwehu au shoga wewe
Pesa Haina formula za kwenye vitabu na walionazo walizipata kwanza ndio wakaanza blaa blaa za kudanganya watu kwamba wasome vitabu.Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !
1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya
shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na kimataifa niliwakilisha vema
2. Nimeangalia documentaries na serial kadhaa za sayansi, siasa, makumbusho na hata za mapunduzi na mauaji Ya watawala kadhaa
3. Nimetembelea Nchi zaid ya 120 duniani hapa
- Sweden , England , Norway , Italy , Denmark, Slovenia, Estonia , Lativia , Macedonia, Lithuania, Ukraine, Moldova, Armenia, Krygztan, Hizo nilikaa muda usiozidi miezi mitatu kila nchi ,
- Russia, Peru, UAE, Japan, Belize , USA,
Hizi nimeishi kabisa kwa kazi maalumu,
- North Korea , Israel, Nepal , Thailand, Laos, Vietinam na China, hizi nilienda kwa Tafiti za Jarida fulan japo za North Korea tulinyang’anywa data !
- Kenya, Uganda, Maldavies , Botswana, Rwanda, Eritrea , Egypt, hizi kwa Kazi maalumu za Tanzania
- ireland , Hongkong, Macau, Malaysia , tulienda program fulan ya NSSF kipindi cha RAMADHANI ya Wa DAU
- Luxembourg na Canada haya yalikuwa Matembezi yangu Binafsi
- Poland , German , France (Mafunzo maalumu miezi 3, 3, 3)
Sasa napokuwa maeneo hayo sibweteki najifunza mambo na baada ya utawala wetu wa kishetani kutoka madarakani nikaacha kuwa anonymous Ntaandika kitabu ntaweka na Documentary YouTube maana video nazitunza vema since 2000 nimeanza hizi safari
4.KUHUSU MAPENZI SIJITESI SANA NINA EXPERIENCE YA KUTOSHA KWA VITENDO NA KUSHUHUDIA
NZURI ZAIDI KUNA JAMAA NIMEKUWA ADDICTED KUANGALIA SHOW ZAKE ZA KUWANASA CHEATERS KWENYE MAPENZI NI MKENYA ANAITWA COMRADES FLAVOR (BMS) ukiangalia video zake 5 Iive huwezi taman kuoa au kuolewa, au huwezi danganywa tena!
5. Kuhusu wizi wa vyama tawala usihangaike kuwa ndani ya CCM , nimebahatika kuwa karibu na kikwete, Samia akiwa waziri, Magufuli, naelewa sana mambo mengi ! Hunidanganyi jambo !
6.kuhusu uelewe wa watanzania pitia comments kwenye platforms kama JamiiForums hasa machawa! Face book na kwingine
7. Kuhusu utajiri na uwekezaji hapa ni Muhimu sana niwape docs nazopitiaga nta UPDATES
Britanicca
Harafu anajifanya mjanjaWataokuja DM halali yako
Ila nakubali unaonekana umezunguka dunia kwa pesa zetu za kodi
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !

Ukute ndo wale wazee kutoka bukoba, kasha jistaafia huko alafu anavi connection na serekali, kinamna fulani, sasa anajiona a jua kila angle ya maisha..Pesa Haina formula za kwenye vitabu na walionazo walizipata kwanza ndio wakaanza blaa blaa za kudanganya watu kwamba wasome vitabu.
Hayo mengine sema umebahatika kufanya kazi na Serikali kwenye vitengo muhimu vya ushushushu na diplomasia sio kwamba wewe ni mjanja sana au uko smart sana.
Dunia Ina maarifa mengi zaidi ya hayo ya kwenye vitabu vya kawaida,binadamu ni kumbe complex na kumtambua kunahitaji Elimu zaidi ya udaktari na saikolojia.
Kama ni rahisi Hata wewe unaweza pia kuitumia hizo Kodi kuzunguka Dunia.Wataokuja DM halali yako
Ila nakubali unaonekana umezunguka dunia kwa pesa zetu za kodi
Unampangiaje mtu Cha kuandika humu? Akupe mbinu za kujikwamua? Shule ulisoma Nini?Successful people don't talk, they doo
Ungekuwa umeshaweka docs, na kutoa mbinu za watu kujikwamua.. Sio kusema Nimesoma this and that but nothing to offer