britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #21
Hatari sanaBro Britanica, shukrani kwa hili andiko, hakika tumetembea njia moja ingawa hatufahamiani!
I love comred flavor, na hizi video chini hapa zimebadili Mtazamo wangu wa ndoa na Mwanamke mazima!
Wanaume angalieni hizi video 3 mtajifunza sana, huwezi kusalitiwa na:
1. Mungu
2. Pesa yako
Na hivyo ndo vipaumbele vyako, Hawa wa awake waacheni.
View: https://youtu.be/Pavay1BqqZM?si=6060zPyMZNf0RPSp
View: https://youtu.be/Nl2QA1NFV3c?si=xx9wXbo5y7RoFXZz
View: https://youtu.be/5VWBFAgkqOc?si=OkFRtn0Oetmxw2qL
Ukimaliza hizi video 3 then tasakati sana, 99% ya wanawake kwenye hii show ni Chali, zaidi ya wanaume!
HAWA ndo wake zetu Wazee!
Sawa Lakin kwenye google mambo mengi si verifiedVitabu nilikuwa nasoma zamani ila sio kwa sasa.
Ila nusu ya usiku huwa nautumia kujifunza mambo mtambuka, hii ni kila siku.
Kama hivi hapa nipo naperuzi huu uzi ndio kawaida yangu.
Hata AI pia sio ya kuitegemea sana.Sawa Lakin kwenye google mambo mengi si verified
AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆Hata AI pia sio ya kuitegemea sana.
Lazima uwe na multiple sources.
Hiyo bila kuwa na ufahamu kwanza binafsi unaweza jilisha mataka taka kibao.AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆
Yes mi naweka wazi daily ni mwana CCM mfuNimependa tu leo kuweka wazi kuwa umefanya kazi maalum
Pia umeshafanya kazi na CCM..
Nimekuelewa sana.
Mkuu, META AI sio aisee, ni miyeyusho. Ni kama ipo kwenye majaribio vile, natumia gemini na chatgpt ziko vizuri, zikifuatiwa na deepseek.AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆View attachment 3644846
Aisee!Watu kama hawa huwa ni madebe matupu tu...
Sucess makes you humble, kwanza umeandika vitu trivial tu..
Kama kweli umefanikiwa Unge extend hizo knowledge kwa watu humu.
Encyclopedia bongo! 😉 kwa mwandiko huoo, hebu lala bwana usiku wa manane wote huu...
Successful people don't talk, they doo
Ungekuwa umeshaweka docs, na kutoa mbinu za watu kujikwamua.. Sio kusema Nimesoma this and that but nothing to offer
Sasa kuna shida gani hapo, si nimeweka mawazo yangu kutokana na jinsi mada hii nimeielewaUnampangiaje mtu Cha kuandika humu? Akupe mbinu za kujikwamua? Shule ulisoma Nini?
Humu Kuna majukwaa kibao yanayoelezea mambo mengi na jinsi ya kujikwamua
AI ndo waongo sana nimeuliza matajiri kutoka kagera wananitajia Anna Makinda haha 😆View attachment 3644846
Mbona unamtetea au ndo wewe na ID tofauti?Unampangiaje mtu Cha kuandika humu? Akupe mbinu za kujikwamua? Shule ulisoma Nini?
Humu Kuna majukwaa kibao yanayoelezea mambo mengi na jinsi ya kujikwamua
Yaani mimi mpaka leo sielewi undugu wa Jasusi Ben Membe na Jakaya Kikwete ni ndugu wa kuzaliwa, ni marafiki tu au vipi. Historia haijaandikwa vizuri na sisi watanzania wenyewe.Sasa mkuu AI si inalishwa kwanza? Watanzania hawahawa wamechangia nini kwenye globall information base? Taarifa za East Africa zinazowekwa kwnye mitandao ili watu wazitumie zinawekwa na wakenya including za Tanzania wabongo tumelala tu zaidi ya uchawa tunachungulia watu chooni tu! Mchango wetu kwa dunia ni mdogo sana yani so hatuwezi laumu google wala AI kwa kuwa zinatupa information zilizowekwa kwnye mtandao nani mbongo kaandika ili ukisearch upate? Wasomi wetu ni sawa tu na wasiosoma kbs, tatizo la jamii nzima hili
Yaani mimi mpaka leo sielewi undugu wa Jasusi Ben Membe na Jakaya Kikwete ni ndugu wa kuzaliwa, ni marafiki tu au vipi. Historia haijaandikwa vizuri na sisi watanzania wenyewe.
Uraia wa JPM ulikuwa na mashaka kuwa ni Mnyarwanda. Sasa ishu hiyo si ilikuwa rahisi tu kwa kuangalia shule alizosoma nk na kuandika historia sahihi. Hatuna kumbukumbu. Hata Kizimkazi hatujui kama ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi au wazazi wake ni kina nani. AI itakula matango pori ya wakenya.
Philipo Mpango alipoteuliwa kuwa Makamu wa Rais kile chama cha siasa cha Burundi kilimpongeza kwenye facebook kama mmoja wao, sasa je Mpango ni mrundi au mtanzania?? britanicca
Wewe ni tunajua akili yako ni mavi mavi ndio maana unaitwa makebo yaani matacco😁Wataokuja DM halali yako
Ila nakubali unaonekana umezunguka dunia kwa pesa zetu za kodi
Kwani alikwambia amekuja kuokoa ulimwengu au Tanzania??Watu kama hawa huwa ni madebe matupu tu...
Sucess makes you humble, kwanza umeandika vitu trivial tu..
Kama kweli umefanikiwa Unge extend hizo knowledge kwa watu humu.
Encyclopedia bongo! 😉 kwa mwandiko huoo, hebu lala bwana usiku wa manane wote huu...
Successful people don't talk, they doo
Ungekuwa umeshaweka docs, na kutoa mbinu za watu kujikwamua.. Sio kusema Nimesoma this and that but nothing to offer