Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

Una hoja usikilizwe
 
Vitabu nilikuwa nasoma zamani ila sio kwa sasa.

Ila nusu ya usiku huwa nautumia kujifunza mambo mtambuka, hii ni kila siku.

Kama hivi hapa nipo naperuzi huu uzi ndio kawaida yangu.
Imekuaje ukaendelea kuwa chawa wa CCM?
 
Imekuaje ukaendelea kuwa chawa wa CCM?
Mimi sio Chawa ni Mfurukutwa.

Watu wakiamka huwa nakuwa macho tu mkuu.

Kupumzika ni Mbinguni hapa duniani ni kazi tu.
 
Mkuu umekula Sana Kodi za watanzania
 
Huwa nasema kama mtu amesoma makala,magazeti na kuangalia documentaries nyingi na kasoma vitabu vingi kunizidi,basi atakua hayupo sawa kiakili,..

encyclopedia ya Kwanza kusoma nilikua primary school tuliletewa shuleni inaitwa microsoft encarta,.

Maarifa is a Gift and a curse.,tukupe pole au hongera??
 
Ebwana e u tueleze kuna tofauti mbunye ya kidhungu na hizi za warembo wetu wa tz?
 
Sijawai soma kitabu wala nn naishi ivyo ivyo na maarifa yangu machache kwasababu mwisho wa siku kifo kina nisubiri
 
Encarta Hiyo waliweka kwenye microsoft was very limited, na ni ya Recent nimeitumia nikiwa chuo
 
Mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…