Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Hapana mkuu; Vita ipo na inaendelea kwani wahusika wamesema hayo wao wenyewe i.e. From the Horse's mouth. Sasa hawa watoa taarifa (Media) ya ni nini kinaendelea ndo shida.
Sasa hao waliotoa taarifa wewe mlaji ulizila kupitia nini si hizo hizo media mzee au ulizilaje?

Kwenye media ukweli upo ila uongo upo sana hasa kwenye suala la vita

Inatakiwa ufanye mchujo sana kupata taarifa sahihi

Mchujo unaufanyaje ama unaupataje unapitia vyombo ama media zaidi ya moja za mirengo yote west east na ambavyo vipo haviegemei popote

Naelewa hofu na mashaka yako pia naungana nayo
 
Wewe ni mpalestina,muirani,mlebanoni au ni muathirika tu wa ukoloni wa kiarabu?
 
Tuko pamoja mkuu.
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Endeleeni kujifariji na ujinga wakati wenzenu huko Palestina wanapukutika kama nzige. Viongozi wa magaidi wanauawawa kila leo, halafu utegemee kuna uhai wa hivyo vikundi vya kigaidi kweli?
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Imeandikwa( nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika)

Hii maana yake ukimpiga kongozi unaua uelekeo wa genge..
Umeua maono ya genge
Umevunja kiungo cha genge
Umeharibu mrija wa ufadhili.
Umesambaratisha kundi.

Subiria viongozi wote wamalizwe
 

Nasikia mifumo ya mawasiliano imepigwa tena ile kubwa 😁😁
 
Leo mayahudi weusi wanajifanya kubadili dini
Kwa unafiki hamjambo
Ila mayahudi idadi zao ni siri
Sijui wale wanawake wa kiyahudi waliokamatwa walikuwa ni shemale au
Maana kuna mashoga zaidi ya straight kwa sasa
 
Tofauti ya hebollah, Hamas na Israel ni kuwa Israel imewekeza kulinda raia wake lakini Hezbollah na Hamas wanawatumia raia kama kinga
 
Ivi watu wanavyosema Israel mtoa roho mnafikiri walikuwa wanamaanisha nini

Ndiyo hapo Sasa , walifikiri wamejiandaa vya kutosha yale mahandaki yamewadanganya , wamechokoza muziki wenyewe , sasa watacheza nao !
 

Yaani uchokoze halafu utegemee dunia iingilie kwa usawa , usawa upi pale , I feel sorry for children and innocent people of Gaza , Hamas wamewaponza !
 
Ni Kweli Wabishi Hawaishi lakini hawadumu Bora Uwe Mpole Uzeeke Na Amani
Hio nidhamu ya uoga tunayo mimi na wewe mzeee
Kuna watu kwakua wanaamini kufa kupo basi utakufa tu hata iweje
Tena wanaamini unaweza ukawa mpole na ukafa kikatili hata huo uzee usiufikie wala kuukaribia
Tena wanaamini ukifa unakipambania chako katika umri wowote ule nibora kuliko kufa kitandani kwa maradhi
 
Endeleeni kujifariji na ujinga wakati wenzenu huko Palestina wanapukutika kama nzige. Viongozi wa magaidi wanauawawa kila leo, halafu utegemee kuna uhai wa hivyo vikundi vya kigaidi kweli?
Endelea kuimba imba taarab jiulize muasisi wa hamas yuko wapi halaf baada ya kufa yeye hamas leo iko wapi

Suala la kuifuta hamas mtaliota mpaka mnaingia kaburini hamas ipo sana

Kama unadhani kuifuta hamas inawezekana tuendelee kuuomba uhai na uzima tuone mwisho wa hii mbungi uone kama kuna hamas itayofutwa

Mwisho unadhani mie na wewe tutaishi milele kwakua eti hatupo ghaza pole sana kijana
 
Maliza magaidi yote ya kiislamu.
Wakat huo wewe upo zako kwenye kibod nenda kawasaidie wazayuni wenzako ila ubaya nikwamba hata mshirikiane dunia nzima kama mfanyavyo sasa

Suala la kuumaliza uislamu na waislamu yaani halipo kabisaaaa

Uislam upo upo sanaaaaaaaa
 
Tofauti ya hebollah, Hamas na Israel ni kuwa Israel imewekeza kulinda raia wake lakini Hezbollah na Hamas wanawatumia raia kama kinga
Kama wangekua wanaweza kulinda raia wake wangeenda kuwaokoa kwanza magaidi wao waliotekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…