Aliyekuwa Raisi wa Russia Medvedev anasema vita ndo njia pekee ya kuleta amani mashariki ya kati.Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
The the whole Western Europe will join forces with Israel. Ngoja tuoneRussia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
dogo we nani anaye kuambia Iraq pia ilishinda 😄 Iran wakati anapigana na Iraq alikuwa hana hata missiles au ndege za kivita za mana. Iran wakati anapigana na Iraq nchi zote za kiarabu zilikuwa zinamsaidia Iraq+America na Western. Fatilia hio story ni UN ndio walio ingilia kusimamisha hio vita na Iran ndio alikuwa hataki kusimamisha vita sio Iraq.Iran ilipigana na Iraq ya Saddam Hussein miaka 10 na hawakushinda, sasa wamvae muisrael watafutika kabisa.
Marekani imeshapeleka meli vita 12 na meli kubwa yenye shehena ya ndege vita na askari wa ndege vita 4000 kutoa onyo kwa iran na washirika wake baadaye tena marekani kaongeza meli nyingine ya Abrahamu licon na ndege zingine na kikosi cha nyongeza na meli za ubaribifu (destroyer) zenye mfumo wa kujikinga na mashambulizi ya balstic ya iran kwa ajili ya kuilinda israelIran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
😂😂😂Eti Burundi 😂😂😂 ila Mpaji Mungu
Unajichanganya sana, mara Iran maneno mengi ya kutishia mara wasije kuomba msaada baada ya kujitutumua.
Asijaribu kucheza na moto mara ngapi?Iran asijaribu kucheza na moto, ma-ayatollah na majenerali wa jeshi legelege la IRG wataikimbia Tehran
Iran asijaribu kucheza na moto, ma-ayatollah na majenerali wa jeshi legelege la IRG wataikimbia Tehran kwenda mafichoni kwa kipigo kikali hadi maandamano ya raia mitaani kupata sababu ya kuwalaani viongozi wao kutokana na hali ngumu zaidi ya maisha itakayowapata kuliko ya sasa, Israeli ikiishambulia njia zote kuu za kiuchumi na miundombinu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=D9lI2iHfbII
Ripoti mwaka huu May ilitolewa na Nuclear watch dogs kuwa Iran wamepitiliza asilimia ya urutubishaji wa nuke weapons.Nuclear waitoe wapi Iran
Unasema Israel anamlia timing ilhali sasa hivi Wazayuni wengine wanahama nchi!?Israel inaingia mpaka Sebuleni hapo Iran na amna kitu🤣🤣 Iran kama kidume alianzishe tu hii Mikwara aisaidii kitu! Israel anamlia timing ajaribu tena kutuma makombola amalizane na vinu vyote vya nyuklia hapo Iran!! Yemen Mida hii anatafuta Mwekezaji kwa Utaratibu wa EPC+F kujenga Kiwanda cha kusafisha mafuta na Matangi ya kuhifadhi Mafuta🤣🤣🤣
Russia analinda stock yake,kuomba silaha Iran haimaanishi kuwa kaishiwa silaha mkuu.Kwa hiyo siliha zilizobebwa kwenye ndege moja kubwa ndio zinaweza kuendesha vita kamili? Hivi hizi akili mnazitoa wapi, kwanza huyo Russia yeye mwenyewe tuu silaha za kupigana na Ukraine anaungaunga kwa Iran,China na Korea leo hii eti anagawa silaha kwa Iran
Mungu wabariki Iran...Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.