Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Aliyekuwa Raisi wa Russia Medvedev anasema vita ndo njia pekee ya kuleta amani mashariki ya kati.
 

Attachments

  • Screenshot_20240801-173648.png
    Screenshot_20240801-173648.png
    386.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240801-173607.png
    Screenshot_20240801-173607.png
    213.6 KB · Views: 1
Iran ilipigana na Iraq ya Saddam Hussein miaka 10 na hawakushinda, sasa wamvae muisrael watafutika kabisa.
dogo we nani anaye kuambia Iraq pia ilishinda 😄 Iran wakati anapigana na Iraq alikuwa hana hata missiles au ndege za kivita za mana. Iran wakati anapigana na Iraq nchi zote za kiarabu zilikuwa zinamsaidia Iraq+America na Western. Fatilia hio story ni UN ndio walio ingilia kusimamisha hio vita na Iran ndio alikuwa hataki kusimamisha vita sio Iraq.

Aliye anzisha vita akawa yeye ndiye mwenye kuomba vita isimame.

Iran ni level ingine we sio huyo bwege ni jina tu Israel lakini hana uamuzi bila amri za baba zake UK na US.
 
Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Marekani imeshapeleka meli vita 12 na meli kubwa yenye shehena ya ndege vita na askari wa ndege vita 4000 kutoa onyo kwa iran na washirika wake baadaye tena marekani kaongeza meli nyingine ya Abrahamu licon na ndege zingine na kikosi cha nyongeza na meli za ubaribifu (destroyer) zenye mfumo wa kujikinga na mashambulizi ya balstic ya iran kwa ajili ya kuilinda israel
 
Unajichanganya sana, mara Iran maneno mengi ya kutishia mara wasije kuomba msaada baada ya kujitutumua.

Iran asijaribu kucheza na moto, ma-ayatollah na majenerali wa jeshi legelege la IRG wataikimbia Tehran kwenda mafichoni kwa kipigo kikali hadi maandamano ya raia mitaani kupata sababu ya kuwalaani viongozi wao kutokana na hali ngumu zaidi ya maisha itakayowapata kuliko ya sasa, Israeli ikiishambulia njia zote kuu za kiuchumi na miundombinu.


View: https://m.youtube.com/watch?v=D9lI2iHfbII
 
Nahis netanyau analiwa kichwa au ikulu inashambuliwa hilo ndio litakua tukio zuri tutakalo
 
Iran asijaribu kucheza na moto, ma-ayatollah na majenerali wa jeshi legelege la IRG wataikimbia Tehran kwenda mafichoni kwa kipigo kikali hadi maandamano ya raia mitaani kupata sababu ya kuwalaani viongozi wao kutokana na hali ngumu zaidi ya maisha itakayowapata kuliko ya sasa, Israeli ikiishambulia njia zote kuu za kiuchumi na miundombinu.


View: https://m.youtube.com/watch?v=D9lI2iHfbII



Wamarekani wenyewe wanaanza kuamka

 
Iran wako vizur mnoo kwanza hii mnaona kama anatoa vitisho unachukuliaga poa ila hivi vitisho vinawapa mateso raia wa Israel maana hawajui wapi patalipuka au nn kitatokea
Ndio maana mpk wanakimbia nchi
 
Nuclear waitoe wapi Iran
Ripoti mwaka huu May ilitolewa na Nuclear watch dogs kuwa Iran wamepitiliza asilimia ya urutubishaji wa nuke weapons.
Na inahofiwa huwenda walishaamua kuunda hizo silaha maana jumuiya ya kimataifa iliwaondolea vikwazo kasoro USA na allies wake tu.
 
Israel inaingia mpaka Sebuleni hapo Iran na amna kitu🤣🤣 Iran kama kidume alianzishe tu hii Mikwara aisaidii kitu! Israel anamlia timing ajaribu tena kutuma makombola amalizane na vinu vyote vya nyuklia hapo Iran!! Yemen Mida hii anatafuta Mwekezaji kwa Utaratibu wa EPC+F kujenga Kiwanda cha kusafisha mafuta na Matangi ya kuhifadhi Mafuta🤣🤣🤣
Unasema Israel anamlia timing ilhali sasa hivi Wazayuni wengine wanahama nchi!?
AISEE Wabongo mnajua sana kuropoka.
Raia wa Israel wanalalamika huko juu ya maamuzi ya viongozi wao maana washachoka kuwa internally displaced,wengine wamesusa jana wamekata tiketi maelfu kuondoka Israel kwa muda.
Netanyahu simu kuelekea Washington haziishi,wewe keyboard warrior upo JF ukisema eti Israel anamlia timing Iran.
Wazayuni wakikusikia watakupiga makofi.
 
Kwa hiyo siliha zilizobebwa kwenye ndege moja kubwa ndio zinaweza kuendesha vita kamili? Hivi hizi akili mnazitoa wapi, kwanza huyo Russia yeye mwenyewe tuu silaha za kupigana na Ukraine anaungaunga kwa Iran,China na Korea leo hii eti anagawa silaha kwa Iran
Russia analinda stock yake,kuomba silaha Iran haimaanishi kuwa kaishiwa silaha mkuu.
Na hapo sidhani kama kuna silaha iliyoletwa zaidi ya ADS tu za kulinda anga la Iran.
 
Back
Top Bottom