Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

China hapatani na waislamu.. huwa anawatesa sana waislam eneo lake la Ughur.

Shida ya palestina na iran ni waislam
Ona huyu mwingine anaropoka.
Uighur imethibitika hakuna mateso kwa waislam zile zilikuwa ni American propaganda tu.
Hiyo China unayosema haipatani na waislam ndio ulimuita kiongozi wa Houthi Yemen na Crown prince wa Saudi Arabia na kiongozi wa Iran ili kuwapatanisha 2021.
Hiyo China unayosema haipatani na waislam imejenga chuo kikubwa sana Tehran cha ku share industrial and military technology pamoja na railway technology pale Iran.
Hiyo China unayosema haipatani na waislam ndio imemuita kiongozi wa Hamas na PLO ili wapatane mwaka huu mwezi wa saba pale Beijing.

Wakati mwingine chunguza kabla hujaropoka.
 
Hali ya hatari iliyotangazwa na Israel ni ya HOFU ILIYOPITILIZA.
Jana nimetizama BBC news kuna raia wa Israel wengi wamekata tiketi kuhama Israel kwa muda.
Si hivyo tu ndege nyingi za kimataifa zimekuwa suspended.
Na viongozi wengi wamekimbizwa kwenye BUNKER.

-Israel ili atumie airforce anatakiwa asogee ghuba ya karibu na uajemi,laa sivyo hana ndege za kutoka Israel zifike Iran zishambulie halafu zirudi bila kuwa refueled njiani.
Na usisahau Iran ana BAVAAR-373 Air defense system ambayo ufanisi wake ni sawa na wa s-300.
Maana huo mfumo Iran aliu develop kwa ku copy S-300 ya Russia.

Kwahiyo sahau ndege za Israel kupita kirahisi pale Tehran.
Israel's Iron Dome system, the country's key defense against missile and rocket attacks, is powered by mobile missile-defense batteries. When an Iron Dome radar unit detects an incoming rocket, it relays information about speed and trajectory to the batteries' control center.
 
Na ndivyo watakavyofanya. Irani kuhalisia anaiogopa sana Israel na anajua nguvu yake. Anachokifanya ni kutengeneza katukio kuonyesha kuwa amelipa kisasi.

Na inawezekana huwa anawasiliana na Israel na Marekani kuwaomba kulipa kisasi kiaina na ndio maana Marekani muda wote hutoa taarifa ya muda . Tujikumbushe kisasi cha Iran dhidi ya Kambi ya Marekani kule Iraq ambapo hakuna aliyejeruhiwa hata mmoja, na juzijuzi alivyolipa kisasi kwa Israel kisasi kisichokuwa na madhara.

Kwahiyo ninaamini muda huu kamati imeundwa baina ya Israel, Iran na Marekani kupanga namna ya kulipiza ila malipizi yasiyo na madhara.

MTU MWENYE NIA HUWA HANA MATANGAZO MENGI
😂😂😂😂😂😂😂😂MKUU WEWE NI MUONGOO.
Embu nenda kahungame dhambi ya uongo kwanza.
Wewe nani kakwambia Iran anaiogopa Israel!?
Kama Iran anaiogopa Israel je angeweka jeshi Syria na Kuisaidia Hizbollah??
Hivi unajua kama Hizbollah inayoishambulia Israel tokea Oktoba 7 inasaidiwa na Iran!?
Kama angekua Iran anaiogopa Israel asingejisogeza Syria na Lebanon.
-Halafu uache UONGO kisasi cha Qassem Soleiman pale Iraq kililipwa kambi ya USA ilipigwa ikiwa na wanajeshi tena wengi wao wamepata ulemavu wa viungo na akili.Bahati yao walijificha katika mahandaki madogo ya ile kambi ndio pona yao wakapata ulemavu kwa kuumia viungo na wengine walemavu wa akili hadi sasa.
Ndugu wa hao wanajeshi walilalamika mitandaoni ndio Trump akajishaua kutuma battleships ziende Persian Gulf zikaishia pembezoni tu.

-Tukio la May lilihusisha kurushwa drone na makombora 300+ kama isingekuwa UK,USA na Jordan basi Israel ilikua inageuka majivu.
Maana ilikua ndio mara ya kwanza Iran anashambulia directly into Israel.
Hakuna mtu ambaye alitegemea,na Iran walisema kuwa it was the show of force not use of force.
-USA kujua kuhusu kushambulia ni kulingana na Intelijensia yake,maana hata uvamizi wa Russia ndani ya Ukraine USA wali predict na ikatokea vile vile.

Msitake kutudanganya hapa ilhali tunafahamu kila kitu huyo Israel anayemkingia kifua ni USA na UK.
Na kwa uwepo wa USA kunampa wakati mgumu Iran kwasababu anajua anatafutwa na maadui wengi huku akiwa na struggling economy yenye vikwazo vingi.
 
Iran ilipigana na Iraq ya Saddam Hussein miaka 10 na hawakushinda, sasa wamvae muisrael watafutika kabisa.
Miaka kumi ipi?
Embu tuondolee uongo,vita ilikua ya miaka 8 kuanzia 1980-1988 na Iraq ndio iliivamia Iran ikisaidiwa sio tu kisilaha hadi kijeshi na USA ila Iraq ndio ilishindwa na Iraq ndio iliomba mazungumzo na Iran ili vita iishe.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂MKUU WEWE NI MUONGOO.
Embu nenda kahungame dhambi ya uongo kwanza.
Wewe nani kakwambia Iran anaiogopa Israel!?
Kama Iran anaiogopa Israel je angeweka jeshi Syria na Kuisaidia Hizbollah??
Hivi unajua kama Hizbollah inayoishambulia Israel tokea Oktoba 7 inasaidiwa na Iran!?
Kama angekua Iran anaiogopa Israel asingejisogeza Syria na Lebanon.
-Halafu uache UONGO kisasi cha Qassem Soleiman pale Iraq kililipwa kambi ya USA ilipigwa ikiwa na wanajeshi tena wengi wao wamepata ulemavu wa viungo na akili.Bahati yao walijificha katika mahandaki madogo ya ile kambi ndio pona yao wakapata ulemavu kwa kuumia viungo na wengine walemavu wa akili hadi sasa.
Ndugu wa hao wanajeshi walilalamika mitandaoni ndio Trump akajishaua kutuma battleships ziende Persian Gulf zikaishia pembezoni tu.

-Tukio la May lilihusisha kurushwa drone na makombora 300+ kama isingekuwa UK,USA na Jordan basi Israel ilikua inageuka majivu.
Maana ilikua ndio mara ya kwanza Iran anashambulia directly into Israel.
Hakuna mtu ambaye alitegemea,na Iran walisema kuwa it was the show of force not use of force.
-USA kujua kuhusu kushambulia ni kulingana na Intelijensia yake,maana hata uvamizi wa Russia ndani ya Ukraine USA wali predict na ikatokea vile vile.

Msitake kutudanganya hapa ilhali tunafahamu kila kitu huyo Israel anayemkingia kifua ni USA na UK.
Na kwa uwepo wa USA kunampa wakati mgumu Iran kwasababu anajua anatafutwa na maadui wengi huku akiwa na struggling economy yenye vikwazo vingi.
Mwingine huyu katandikwa leo. Lazima viongozi wa magaidi wote wishes
Screenshot_20240803_150633_Chrome.jpg
Screenshot_20240803_150710_Chrome.jpg
 
Israel haina uwezo kupambana na Iran , hili nitasema tena na tena licha ya kutaka kuaminisha dunia kwamba ni wababe kwa kufanya covert operations na kuua viongozi wa maadui zao.

Muda utasema.
Haina uwezo sa iran anasubiri nn kuifuta
Wewe unasema haina uwezo kwa ushahidi gn ulionao iran ana siraha gn ya maana kuishinda israel pale mashariki ya kati...
Huyu huyu iran mwenye videge vita vya zamani kutoka marekani F4 au mwngne huyu huyu iran mwenye helicopters za zaman toka marekani au mwngne...
Huyu huyu ambaye Israel inafanya opareshen zake ndani kwake tena kwenye mji mkuu kbs watu wanapga tukio na kusepa au mwngne
Iran ana ndege gn za kupambana na F 35, F 16 za israel zipi hzo alizonazo.

Kama ni makombora aisee hivi hujui myahudi ana mpk nuclear ka mute nazo tu hapo tel aviv.

Punguza mahaba ya kijinga kwenye vitu halisia ni sawa na kusema north Korea inaweza ipiga south korea kwa jeshi gn alilonalo na siraha zp sasa ambazo znaweza mtisha south korea
Pale mashariki ya kati mwenye siraha za maana na jeshi la kueleweka ni misri naye karibia siraha zote ni za marekani pia na turkey naye siraha karibia zote ni za marekani na kwa mbaaali saud arabia naye siraha zote anatoa marekani
 
Huna unalojua wewe kaa kimya.
Hiyo Israel unayoisemea hapa IEMPIGWA NA HIZBOLLAH ambayo ni mtoto wa Iran hapo middle east Lebanon.
Unadhani kwanini USA wanamkataza Israel asiendeleze ugomvi na Iran!?
Kwasababu USA wanajua millitary capability ya Iran na wanajua kama ikizuka itakua kubwa.
 
Haiwezi kuwa 100% effective, pia inategemea kama zilikuwa combat-ready maeneo hayo yaliyopigwa.
Mkuu ukumbuke hayo makombora yalipigwa katika Galilee millitary camp,ambako iron dome zilikua active muda wote.
Basi sawa tuliache hilo kule Northern Gaza October 7 Hamas ilirusha roketi 5000 nusu ya roketi zililenga.
Ufanisi wa iron dome uko wapi!?
 
Ayatollah anaenda kumalizwa na uhakika siku si nyingi, huko Tehran, sbb wayahudi wana tabia ya kuwaua viongozi wazi wazi na wao kupigwa risasi na kuuawa kuna mifano mingi, Ayatollah akae kwenye handaki au wapi watamfuata najua, kama ilivyo kwa Rais wa Iran alivyouawa kwenye ile ajali, Ayatollah nae akae chonjo sana sbb wayahudi ni wakata roho za watu kwa uhakika
Hilo la Ayatollah ni kifatacho ITV, japo anaishi jeshini.
 
Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Nataka nukuhakikishie Iran hatoweza fanya kitu Israel na akifanikiwa itakuwa mwisho wa Dunia. Masaa machache kabla Iran haijashambulia Israel watashambulia
 
Back
Top Bottom