Haya
[/QAcha kushiriki uuaji Kwa binadamu Hawa walio dhaifu.Haya
Tendo lolote la ndoa lengo lake la asili ni kuzaliana, kuendeleza uzazi na si vinginevyo.
Unaposhika ujauzito hilo ndilo lengo la tendo mlilo lifanya Wala starehe si lengo (final end)lake.
Hivyo hakuna mimba ya bahati mbaya hakuna ni kutimilika tu Kwa end ya tendo.
Hahahaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kwa wewe sijui ni kanisa gani litakukubali
Madhara kivipi wakati kitanda hakizai haramu?Amwachie Mungu umalaya afanye yeye then amwachie Mungu?hayo ndio madhara ya dhambi aisee
Acha mawazo haya ya kishetani si kwasababu watu wengi wametoa mimba Kuna justify hilo tendo ovu.Hamna lolote Kuna Watu wengi humu wameshawahi kutoa mimba au kuwashawishi wanawake wao watoe mimba
Then katika mijadala kama hii wanashindwa kuongea ukweli wanaficha tabia zao ,
Kutoa mimba changa Wala hakuna tatizo kabisa as long as muhusika anaona kuwa Bado haja jipanga kuleta kiumbe Duniani mambo ya kuzaa zaa kiholela sio mpango ni kuirudisha Nyuma Jamii
πππππππππ Hata mimi kama ningekuwepo aaaaaah ningetoka pia nisingebakiHahaha
Nilipata demu chuo mlokole akanipeleka kanisani...walokole wana ule muda ukifika kila mmoja anajitafutia kona yake anaanza kunena kwa lugha.
Nimejikalia nasikiliza maombi dakika tano nikaona kila mmoja yupo kwenye kona yake sijui kundaraba kundaraba...nikatoka taratibu nikaenda zangu.
Wamemaliza anashangaa sipo. Sipendi kelele.
Hawakufanyia kitandani haoMadhara kivipi wakati kitanda hakizai haramu?
Hakuna mawazo ya kishetani Acha UjingaAcha mawazo haya ya kishetani si kwasababu watu wengi wametoa mimba Kuna justify hilo tendo ovu.
Huo ni uuaji mimba ikitungwa tayari yule ni binadamu kamili mwenye roho na mwili. Kuua mtu tumboni ni sawa na kuua mtu akiwa amezaliwa au mtu mzima.
Kwa kutoa ushauri huu damu ya watoto wachanga waliotumboni inakuhusu Kwa kushiriki uuaji.
The final end of sexual intercourse ni kizazi si starehe. Hamna mimba ya bahati mbaya hata kama sijajiandaa ninapaswa kupokea kuliko kuua si mjusi ule ni mwanadamu kamili.
Hypocrisy tena watu wanapenda sana unafiki π€£Watu kwa unafiki ni hatari...... Chuo/ A level mademu wengi wametoa mimba saana.
Sema ndiyo hivyo washakua mama wachungaji wananena kwa lugha sasa.
Ndio umeamua kuja kunisema ukuNilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
Tuma picha kuthibitisha usemachoHawakufanyia kitandani hao
Huo ni ushetani. Huwezi ku support utoaji mimba ukasema hayo si mawazo ya kishetani. Wewe ni ulianzia pia huko kwenye embryo - foetus. Si mijusi hii ni binadamu.Hakuna mawazo ya kishetani Acha Ujinga
Mimi nina video yao tu hapa sina pichaTuma picha kuthibitisha usemacho
Shetani wa kwenye biblia na Mungu muuaji wa kwenye biblia nani anadaiwa damu nyingi za mauaji , na alikua anatoa oda mpaka vitoto viuwawe ?
Nimelewa naomba nikujibu kesho bwashee1st phase
Mkuu nimekuambia hapo juu kuwa yupo mwenye hati miliki ya Damu na huyo ndiye muumba wa vyote uliyemtaja hapo kwa jina la MUNGU
Sasa kama mwenye mali anachukua mali yake kuna tatizo? Kama mwenye mali anatumia mali yake kwa jinsi atakavyo yeye kuna tatizo? ..... Kwahiyo jibu la sentensi yako hapo juu ni Kwamba π Mungu kuua mwanadamu Mkuu hakuna tatizo lolote B'se sisi sote ni mali yake
2nd phase
Shetani nae ni mungu ila sio halisi ni fake (i.e ni mungu wa dunia hi tu yaani hana utawala mahali pengine zaidi ya hapa duniani), wapo watu wanaomtumikia na kumuabudu huyu bwana mdogo in every second that pass. Hawa watu wapo chini yake na anaamamlaka ya kutenda lolote juu yao ikiwemo kusababisha kifo cha mwili
Hitimisho
Wanaomtumikia na kumuabudu MUNGU ni wakuu kuliko ibilisi i.e huyo tunaemuita shetani yupo chini yao na hana uwezo wala nguvu ya kuwatenda lolote π