Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

Mpaka pale nikipata dada atakayenikubali lakini mimi ndiye mwanaume wa faraja kwa wenye shida kama hizi .

Pole kwa yote ,tafadhali nimeumia ila inabidi tu nikueleze ukweli kuwa huyo sio muowaji njoo nikuoe kabla mimba haijawa kubwa ili hata nimpange dada kuwa una mimba yangu kwa sharti kuwa huyo mtoto lazima awe wangu
 
Muombe Mungu akusaidie
 
Mawazo ya kijinga na ambayo hayana logic .

Je anatoa mimba kwa sababu zipi

-Ugumu wa maisha
-Baba kumkataa mtoto
-Hakujiandaa kuwa single mama.

Ni vizuri ukatoa maelezo ya kutosha .

Abortion is killing of innocent kid.
 
Hakuna sababu ya mtu kutoa mimba haijalishi ni nini
Mawazo ya kijinga na ambayo hayana logic .

Je anatoa mimba kwa sababu zipi

-Ugumu wa maisha
-Baba kumkataa mtoto
-Hakujiandaa kuwa single mama.

Ni vizuri ukatoa maelezo ya kutosha .

Abortion is killing of innocent kid.
 
Kuwa mvumilivu, zaa mwanao atakufaa baadae.

Jambo la muhimu kujua ni kwamba wanaume huwa tunatamani kwanza halafu upendo baadae, tofauti na nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…