Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

Hivi unatumia ubingo kufikiri au makalio. Nan kakwambia USA anategemea silaha tu. Vitu vya marekani zinazouzwa afrika ni asilmia 1

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sehemu niliyosema inflation ya double digits
Ndio sasa hivi kuna inflation ya Double Digit huko, overall inflation ni asilimia 8.5 mwezi huu, na energy inafika hadi 32%, haijawahi tokea marekani kwa zaidi ya miaka 40 iliopita. Hivyo imezidi Effect ya Corona.

Kwa Nchi kama Us ambayo haitegemei energy Ya mrusi na Ukraine kwanini Iathirike kuliko Rest of the world?
 
vipi kuhusu paundi na dolla... muingereza anazalisha bidhaa nyingi?
 
Apana sio mali za asili tuu dunia imeshatoka huko saa ivi kuna service economy, rasimali watu, wee ingekuwa hivyo unafikiri uchumi wa Japani ungekuwa mkubwa kama ulivyo
 
Toa Hoja, Nimewapa Hoja China ni Nchi ya Pili duniani kwanini Hela yake Haitumiki sana? Kwanini Pound inatumika sana kwetu Kuliko hela ya China?
China anashutumiwa kwa kuidogodisha thamani pesa yake ili aweze kufanya biashara, watu waweze kununua bidhaa zake kwa thamani ya kawaida/ndogo kuliko akitumia kuifanya pesa yake kuwa na thamani kubwa kama za waarabu au pound... mmarekani ana mmind mchina ktk maswala haya ya kukontuloo karensi yake...
 
Ongeza na sisi Tanzania tuna TISS.

Tanzania Inter-bank Settlement System, which is the country's payments settlement system that processes high value and time sensitive payments on real time basis.
joseph1989 Kilimbaym TISS huu mfumo wafanyakazi wengi waserikali wana ufahamu hasa wahasibu...

na wenyewe tuna uita domestic na sizani kama taasisi binafsi wana utumia... na kuufanya utumike na taasisi binafsi ni ina geuka kuwa chanzo cha mapato kwa serikali...

na nikama wataweka sheria ya matumizi ya ndani utumike mfumo wetu na matumizi ya nje au kimataifa utumike huo SWIFT au mingine...

hivyo katika matumizi watalipia, na ndivyo china wanafanya na baadhi ya mataifa mengine... ila china hawakuzuia wameiacha yote itumike kwa pamoja
 
US na UCHINA nani anazalisha vingi vinavyohitajika DUNIANI
wewe binafsi unatumia vipi na vipi toka huko US !!!??
 
Ongeza na sisi Tanzania tuna TISS.

Tanzania Inter-bank Settlement System, which is the country's payments settlement system that processes high value and time sensitive payments on real time basis.
[emoji3]
 
Apana sio mali za asili tuu dunia imeshatoka huko saa ivi kuna service economy, rasimali watu, wee ingekuwa hivyo unafikiri uchumi wa Japani ungekuwa mkubwa kama ulivyo
Rasilimali watu kiaje MKUU ongezea nyama maana kama watu wanachangia uimara wa fedha nahisi UCHINA na INDIA wangeongoza !!!!!
 
Rasilimali watu kiaje MKUU ongezea nyama maana kama watu wanachangia uimara wa fedha nahisi UCHINA na INDIA wangeongoza !!!!!
Nikisema rasilimali watu nina maana na Taifa kuwa na watu wenye fani mbalimbali. Kadri watu wanavyokuwa na fani adimi duniani ndivyo inapelekea wao na taifa lao kutengeneza bidhaa adimu: mfano katika bithaa za kielektroniki ndani yake kuna components zinaitwa chips hizi ndizo zina thamani na adimu kwelikweli. Yeye Marekani ana kampuni ambazo wanadesign hizi vitu, mbali na kuuza kwa wazalishaji wa consumer goods pia wanazo chips specific for military application, ndio maana katika vikwazo vya kwanza kabisa mrusi kula ilikuwa ni kununua hizo chip na vifaa vingine vya kivita.
Katika hii vita tunaona drone za mturuki zikipewa pongezi lakin ukiingia deep utakuta baathi ya components muhimu kwenye hiz drone zinatoka kwa campun za kimarekani.
Hivyo taifa ili lifanikiwe kwenye nyanja ya uchumi sio kuwa na watu wengi tu kama tulivyokuwa tukihimizwa bali watu wenye ujuzi, kama malighafi mtaagiza kutoka kwa wale wasio na ujuzi, alafu mkishatengeneza bithaa mnawauzia tena bei mara nne yake. mchina anatoboa kwa sababu watu wake wana ujuzi mbalimbali, na nikisema ujuzi sio utalamu ule wa ndani..ata sio hivyo ujuzi hata wa kupanga vitu ndani ya box vikaenea na sio kwa kubahatisha.
 
Nimeongeza kitu kichwani
 
Logic nzuri mkuu, but still ina prove point yangu kwamba Currency kuwa strong haiendani na ukubwa wa uchumi pekee bali Stability pia.

Mfano Nchi za kiarabu Currency zao zipo strong, sababu mafuta ni uhakika kuuzika, uchumi unakuwa stable.

Ila unaweza ukawa na Hela ina thamani ila leo inapanda kesho inashuka, hio hela haitakuwa na nguvu.
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Umeangalia kwa upande mmoja. Dola sio imara kwa sababu tu kila kitu kupatikana US. Dola inapewa nguvu na biashara ya kimataifa. Yaani ukitaka kitu Japan, inabidi uwe na USD badala hata ya Yen ya Japan.
 
Hivi unatumia ubingo kufikiri au makalio. Nan kakwambia USA anategemea silaha tu. Vitu vya marekani zinazouzwa afrika ni asilmia 1

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hivi unajua kiasi cha silaha za marekani zinazopelekwa duniani kote na kwa gharama gani? Pole kwa wazazi wako kutokukulea vizuri na yamkini ndio waliokufundisha matusi kwa kukutukana mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…