Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

Viwanda vya china /urusi haviwezi kushindana na vya USA kwa ubora, ndiyo maana huoni Ihone maduka ya mitaani. By the way, viwanda vya maana vingi uchina ni patent za USA, Am I right?
 
Mkuu US anachapisha Note, ni scandal ya Biden na ipo verified na source za kimarekani pia, wana inflation kubwa sasa hivi na naona wanataka kuanzisha pesa mpya Digital Usd.
nafanya utafiti kuhus hilo
 
elewa acha kukaza fuvu , kilichokuwa kinaibeba us dollar ni kuwa marekani ana biashara karibu na kila nchi duniani ambayo huenda hiyo biashara hutoeza ipata kwa wengine mf 60% inatumia os ya us mbali na hiyo misingi ya technology nyingi inauhusiano na makampuni ya us kama sio kumilikiwa na us companies hivyo ilikuwa ni lazima us dollar kuwa juu ila kwa sasa us dollar itashuka kwasababu ya dunian kuamka na hata ile technology tuliyokuwa tunategemea kwa us tu sasa hv ipo kila kona so ni swala la mataifa kuanza kuwa na imani na makampuni ya technology mbali na yale ya US
 
nasubiri akujibu ili niongeze swali la nyongeza. na asituambie anatumia smartphone za apple.
mmarekani huez mkwepa , anafanya biashara invisible na visible , mkubwa mzima huez hata angalia unachotumia ina operatiwa na OS gan , jiulize imetokea wap ?
 
weak point , kama ni hivyo mzunguko wa dollar ungekuwa mkubwa mtaani , yaan 2022 bado kuna waafrika mna akili kama za idd amin mnaamin kuchapisha ela nying kunatatua matatizo yako ?
 
Na mchina iliwa hiki ndo kigezo basi pess yake ndo ingekua inatumika duniani, mchina sio afrika tu mpaka uko marekani anapeleka bidhaa. Kumbuka vita ya vikwazo vya kibiashara kati ya china na marekani wakati wa Trump
 
Kama ni hivyo yuan ndio ingeongoza maana vitu vingi tu vya marekani vinatengenezwa china na dunia yote inaenda china
Mbona umesema kweli kuwa patents za vitu vya china ni marekani.... si mali yao, raw matrials si ajabu supplier ni USA, hivyo hata bei inawezekana anapanga yeye na hivyo kuwa na final say ya ngawila!
 
Kama KENYA wanavyotupiga changa la macho afrika mashariki
 
Kawaambie Usa wenyewe sio mimi, wao ndio wanalalamika. Wanalalamika policy za Biden ndio zinasababisha.

Marekani hakutakiwa kuathiriwa na Urusi kama Ulaya, Hategemei sana Gas na Mafuta Toka Urusi
wenzio hawana akili za mafuta yamepanda bei bas vumilieni kila kitu kipande bei
 
weak point , kama ni hivyo mzunguko wa dollar ungekuwa mkubwa mtaani , yaan 2022 bado kuna waafrika mna akili kama za idd amin mnaamin kuchapisha ela nying kunatatua matatizo yako ?
huyu hajui, unazichapa nyingi kununua rubby tanzania halafu Tz inazirudisha kwako kukunu Boeing! does it make sense kweli?
 
Nani kakudanganya, US ni mwongo na mwenye majidai yasiyo yake.
Kawaambie Usa wenyewe sio mimi, wao ndio wanalalamika. Wanalalamika policy za Biden ndio zinasababisha.

Marekani hakutakiwa kuathiriwa na Urusi kama Ulaya, Hategemei sana Gas na Mafuta Toka Urusi
 
sandali usitoe weak reasoning to that level! f that is the case, then tanzania tutanunua Boeing kama IST toka marekani, maana tutakuwa na madola kibao ya madini yetu!
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Naomba Kuuliza China Wana Produce Vitu Vingi Je Inaweza Kuwa Na Thamani Kuliko Dollar

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…